huduma za kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SangaMiliki

    JamiiForums Tanzania Huduma za Kisheria na Ushauri wa Biashara kwa Weledi – Karibu Amicable Group Holdings Limited

    𝗧𝘂𝗻𝗮𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗲𝗻𝗲𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼: 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘇𝗮 𝗞𝗶𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 Ofisi yetu: Ubungo, karibu na njiapanda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mawasiliano: 📞 0753786858 ✉️ [email protected] 📱 Facebook & Instagram: Amicable Solutions Facebook: Amicable Solutions...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mama Samia Legal Aid yatarajiwa kuanza Mwanza kuanzia Februari 18 hadi 27. Mkuu wa mkoa atoa neno

    Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema mara baada...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Samia Legal Aid Campaign yatatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30

    Timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30 na hatimaye kufikia tamati. Hayo yalijiri Februari 8,2025 baada ya timu hiyo kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, taarifa ya utendaji kazi ya...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria

    Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria. Lengo ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE na...
Back
Top Bottom