Hello!
Shalom
Kuna huduma kuu 5 ambazo ni Utume, unabii, Uchungaji , ualimu na Uinjilisti.
Kwasababu ya watu kukosa MAARIFA ya ndani juu ya huduma wengi huishia kujiita Wachungaji, Walimu na Wainjilisti. Kuna watu wanafanya huduma ambazo hawakuitwa kwazo, kuna watu wanaogopa kufanya huduma ya...