Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).
Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma.
Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
Huduma zinazotolewa na Taasisi,Idara,Mashirika,Wakala na kwingineko.
Mimi binafsi katika utafiti wangu mdogo idara ya maji inajitahidi sana kutuma bili kwa wakati.
Pamoja na watu wengi kulalamikia bili hizo kuwa zinakuwa na bei kubwa ukilinganisha na matumizi lakini wamepiga hatua kubwa...
CCM Kwa katiba iliyopo bado mtaiba kura na mgombea wenu atapita. Ushauri wangu kuwenu serious basi badilisheni gia angani huyu mama akacheze na wajukuu Kizimkazi, hali siyo kabisa serikalini. Magufuli sikuwahi kumpenda lakini kusimamia utendaji wa serikali alikuwa very smart pamoja na madhaifu...
Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.
Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa
Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
Magwiji wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia matundu madogo, mapema wiki hii wamekutana Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutathmini hali ya utoaji huduma hiyo...
UNAHITAJI KUDESIGN STICKERS & PRODUCTS LABELS,VIPEPERUSHI,POSTER NA LOGO YA BIDHAA YAKO?
Usikubali bidhaa yako uize kiholela sokoni bila kuwa na utambulisho wenye muonekano mzuri na kuuzika sehemu yoyote unayohitaji Bidhaa nyingi nzuri zimeshindwa kupata masoko sababu hazina muonekano mzuri...
Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa .
Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV
0756294771/0672701329
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa iliyozua gumzo ambayo inahusu Hospitali ya Aga Khan kuiiomba NHIF isitishe mkataba wake wa utoaji wa huduma kwa sababu za kiuendeshaji.
Ilinistua na nikalazimika kwenda mbali zaidi ili kujua sababu ya suala hilo. Hakika niliumia sana kuona...
Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako.
Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu:
🔹 Huduma ya Logo design zenye kuvutia na za kipekee pamoja na banner.
🔹 Huduma ya business Card design.na lebo za bidhaa
🔹...
Taasisi ya The Foundation for Civil Society (FCS) wametia saini makubaliano ya miaka mitatu na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC), ya Katika kuhakikisha juhudi za kulinda haki za Watumiaji wa huduma katika Sekta ya Mawasiliano...
Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi.
Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji
Wakuu, Nimetembelea stores kadhaa za Airtel ku acces huduma ya esim bila mafanikio yoyote yale, Inashangaza hata Matawi makubwa kama Mlimani City nako hakuna huduma ya esim kabisa Airtel Tanzania
Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma.
Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri.
Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu Raia wakafahamishwa kwamba hakuna...
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI...
Kwa wale wanaotumia simu za google pixel na mtandao wa voda kuna mtu simu yake inashika VoLTE? maana mimi natumia pixel 6 pro ina hiyo feature lakini sioni option ya kuiwasha. Au ni shida kwa watumiaji wote wa pixel?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.