huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Utoaji wa Huduma za Afya Vijijini Mwetu Unaendelea Kuboreshwa - Wanavijiji Wapewa Zawadi za Krismasi

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA VIJIJINI MWETU UNAENDELEA KUBORESHWA - WANAVIJIJI WAPEWA ZAWADI ZA KRISMASI Utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini unaendelea kuboreshwa. Ratiba za uzinduzi wa utoaji wa Huduma za Afya vijijini mwetu: (i) Tarehe 6.12.2024 Zahanati ya Kijiji cha...
  2. M

    KERO Maji hayatoki Kimara karibu mwezi sasa. DAWASA shida nini?

    Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana. Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa. Hakuna taarifa yeyote inayotolewa. Viongozi wetu wa juu nao kwasasa naona kimya kabisa, zile amsha amsha hazipo. Basi mtupe hata taarifa tatizo ni nini na maji...
  3. S

    Habari Njema: TRC wanapanga kuweka injini za Diesel kuimarisha huduma

    Habari wanajamvi, Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako. Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha. Nilichelewa kwa dakika mbili (treni ilipaswa kuondoka saa 10 kamili. Nlifika 9.57, nkakuta milango ya...
  4. Roving Journalist

     Waziri Aweso: Kijiji cha Bukundi Wilayani Meatu hakina huduma ya Maji Kuanzia tarehe 1-12-2024 na siyo kuanzia 2017

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akijibu hoja ya Mdau kuhusu uhana wa Maji Kijiji cha Bukundi, amesema Taarifa hiyo sio ya kweli katika muktadha wa uhalisia ulivyo katika Mradi huu uliopo mkoani Simiyu. Awali Mdau wa JamiiForums.com alidai kwamba, "Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu...
  5. BLACK MOVEMENT

    Prof Janabi kashindwa Muhimbili, Huduma ni mbovu, malalamiko ni Mengi, huko WHO hafai kuongoza.

    Tunapaswa kumuonyesha Raisi Samia kwamba haturidhishwi na mfumo wa huduma za Afya Tanzania, na ikiwemo Hospitali kuu ya Muhimbili unayo simamiwa na huyo anaye pigiwa upatu. Nchi ina mifumo mibovu sana ya Afya, tuwe serious hapa. Huduma za Hospitali ya Muhimbili sio nzuri na zinalalamikiwa...
  6. Yoda

    Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  7. K

    KERO NMB huduma zenu Tawi la Bariadi Simiyu ni kero, zinaudhi. zinatwibia wateja.

    NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini. Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki. Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama...
  8. Mwanongwa

    KERO Wakazi wa Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe (Njombe), kwenye huduma ya maji tunaisikia kwenye bomba

    Ukosefu wa maji safi na salama kwa sisi Wakazi wa Kata ya Kijombe, Wilayani Wanging'ombe imekuwa kero kubwa sana kwetu. Kuna kipindi unapita mwezi mzima maji hayajatoka Bombani, hivyo tunalazimika kwenda kuchota wenye madimbwi huko mabondeni. Hii kero haijaanza leo, ni ya muda mrefu sana...
  9. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini huduma ya kuondoa ‘Usichana’ haitolewi mahospitalini?

    Je, huduma hii ikianzishwa mahospitalini, wasichana wataichangamkia? —————————————————- Kitaalam huduma hii itaitwa ‘Surgical defloration’
  10. A

    KERO Kampuni za Mawasiliano zimeshindwa kuhakikisha huduma bora ya Mtandao Tarafa ya Mashati, Rombo

    Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
  11. Waufukweni

    Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
  12. Waufukweni

    Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi, Tanzania haipo

    Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati...
  13. D

    Kuna nini huduma za internet banking NMB huduma hatupati OTP imegoma kuonyesha tunaomba msaada

    Nimepata hitilafu ya kutopata OTP kwenye mfumo wa internet banking yapata wiki sasa. nimetoa taarifa na kupewa ticket lakini mpaka sasa kimya. ninaomba bw kalegeye ulifanyie kazi suala hili. 33410022547 simu 0754290084.
  14. N

    KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

    Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda...
  15. R

    Tigo Pesa tangu wamebadili jina huduma imekuwa mbovu mno

    Hii MIXX by Yas muda mwingi huduma haiko hewani. Hapa nataka kununua umeme (LUKU) lakini kila nikijaribu naambiwa muamala umesitishwa, pesa zimerudishwa kwenye akaunti yako. Jana nilikuwa mahali napata kinywaji na huwa napenda kulipa kwa simu kupitia huduma ya LIPA NAMBA nataka kulipa nakuta...
  16. G

    Nje ya kufunga CCTV camera ni huduma gani nyingine inatajirisha IT wa Bongo?

    IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili...
  17. Camilo Cienfuegos

    Huduma ya Mixx by Yas (zamani tigo pesa) haipo hewani

    Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu. Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao. Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
  18. M

    KERO Utoaji wa huduma ya maji kwa upendeleo eneo la Lulindi wilayani Masasi

    Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu ya kejeri kwa baadhi ya Mtumishi wao Bwana Kwame Mpojo ambaye amekuwa akitoa majibu ambayo sio ya...
  19. Zanzibar-ASP

    Kitendo cha viongozi wengi kuendelea kuugulia kisiri na kufia India kinaashiria huduma za afya Tanzania bado ni duni na haziaminiki!

    Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa. Taifa...
  20. S

    KERO Namba ya huduma kwa waeja ya benki ya NMB: 0800002002 ni kero kubwa, haipokelewi

    Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata. Simu nilianza kupiga tangu juzi ila mpaka leo sijafajikiwa, na sababu ya kuwapigia ni matatizo...
Back
Top Bottom