Moja kati ya swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kuhusu mwisho wako hapa Duniani.
Unajua ni lini au ni namna gani utaondoka? Umejiandaaje?
Maandalizi mazuri zaidi ni kurekebisha njia zako na kuishi kama Mungu anavyotaka bila kusahau jamii na sheria za nchi zinataka nini.
Kuishi kama...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa
Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo
Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha Sheria inayofuta rasmi adhabu ya Kifo ambayo kama ingeendelea kutekelezwa, ingeondoa uhai wa Wafungwa takriban 60 waliohukumiwa adhabu hiyo.
Shirika la Amnesty International limepongeza hatua hiyo na kuielezea kama hatua muhimu katika juhudi za kimataifa...
Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
Mfanya biashara wa Vietnam mwanamama aliyehukumiwa kifo na mahakama ya Hoch Min City mwezi wa April kwa kosa la kughushi nyaraka na kujipatia fedha kiasi Cha Trillioni ishirini, na baadaye kukata Rufaa akitaka apunguziwe hukumu hiyo mpaka kifungo Cha maisha.
Baada ya kukata Rufaa Mahakama ya...
Nilikuwa napitia Hukumu ya Afande Zombe katika ile Kesi ya Muuza Madini aliyeuawa Mabwepande
Jaji alisema Zombe hana hatia Kwa Sababu Siyo yeye aliyefyatua risasi iliyomuuwa Muuza Madini
Pia soma: Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo...
Kuna jambo limenikumbusha vita ya ghuba(Second Persian Gulf war) ile iliyomuondoa madarakani aliekuwa Raisi wa Iraq, Bwana Saddam Hussein. Nikakumbuka huyu bwana alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa.
Saddam ni mfano tu wa watu wengi waliouwawa kwa adhabu ya kifo iwe kwa kunyongwa...
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba.
Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba...
Wanakumbi.
🇮🇷Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali.
Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli za kuhatarisha usalama wa Iran...
Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni.
Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa itakuwa kifungo cha maisha gerezani.
Mara ya mwisho Ghana kutekeleza hukumu hiyo ilikuwa Mwaka 1993...
Taarifa ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Norway (IHR) lenye makazi yake Nchini #Iran ni kuwa idadi hiyo ya watu wanakabiliwa na hukumu hiyo [amoja na kesi za mauaji.
Wanawake watano ni kati ya waliopo kwenye hukumu hiyo na inadaiwa idadi ya watuhumiwa inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa...
Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi,
Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu.
Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono maandamano ya kupinga kifo cha Mahsa Amini, msichana wa miaka 22 aliyefariki akiwa chini ya Polisi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.