hukumu ya kifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Trump afuta mpango wa kurusha mubashara utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa askari muuaji

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya Nidal Malik Hasan, aliyepatikana na hatia ya kuua wanajeshi 13 katika shambulio la risasi kwenye kambi ya kijeshi ya Fort Hood mwaka 2009, hautaonyeshwa moja kwa moja kwa umma. Uamuzi huo umekuja baada ya wazo la...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

    Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth. Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaani yabatilisha hukumu ya kifo mauaji ya 'Super Sami', Kibatala asema haki imetendeka

    Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama 'Super Sami'. Desemba 2024, jopo la majaji wa Mahakama ya Rufani lilitengua hukumu hiyo ya awali ya...
  5. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya hukumu ya kifo na kifungo cha maisha,ipi ni adhabu kali zaidi?

    Kati ya kufungiwa kwenye chumba ukae humo mpaka ufe au utundikwe kwenye kamba,au uchomwe sindano yenye kemikali za sumu au upitishiwe umeme wa msongo mkubwa kwenye mwili wako ufe instantly, ipi kati ya hizi ni adhabu kubwa kwa serious crimes?
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Marais wa Tanzania, Kutosaini Death Warrants, Je Kuna Haja ya Kuendelea Kuwepo Adhabu Hii ya Kifo cha Kikatili kwa Kunyonga?

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo, hapa ninazungumzia uhitaji wa kuendelea adhabu ya kifo cha kikatili kwa kunyonga mpaka kufa?. Hoja hii ni kufuatia kitendo cha marais wa 4 wa Tanzania, kati ya marais 6, kutosaini kabisa Death Warrants, hivyo nauliza kama bado kuna haja ya...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran imewanyonga raia wake 1,639 kwa mwaka 2025 pekee

    Mamlaka ya Iran yaliwanyonga watu wasiopungua 1,639 mwaka wa 2025, idadi kubwa zaidi tangu 1989, kulingana na ripoti ya pamoja ya mashirika mawili yasiyo ya kiserikali ya haki za binadamu. Ripoti hiyo inasema kuwa mauaji yaliongezeka kwa asilimia 68 kutoka 2024 na kuwajumuisha wanawake 48...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa DRC wadai hukumu ya kifo kwa Kabila hakuleta amani bali mvutano utaendelea

    Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali ya mvutano. Bukavu ilivamiwa na waasi wa M23 tangu Februari 2025. Mahakama ya Kijeshi nchini DRC...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Kwa wenzetu ukiskika na tuhuma za hongo tu unahukumiwa kifo ila bongo hata mwenye tuhuma za kulawiti anaweza tolewa siku hiyo hiyo aliyoshtakiwa

    Aliyekuwa waziri wa kilimo China ahukumiwa kifo kwa kashfa za hongo Waziri wa zamani wa Kilimo wa China, Tang Renjian, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishwa kwa miaka miwili, baada ya kupatikana na hatia ya kupokea hongo ya takribani Yuan milioni 268 (sawa na Dola milioni 38 za Marekani)...
  11. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Tishio kwa Wazalendo: Haki ya Maoni au Hukumu ya Kifo?

    Fg
  12. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza jinsi mwisho wako hapa Duniani utakavyokuwa? Umejipangaje kuupokea?

    Moja kati ya swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kuhusu mwisho wako hapa Duniani. Unajua ni lini au ni namna gani utaondoka? Umejiandaaje? Maandalizi mazuri zaidi ni kurekebisha njia zako na kuishi kama Mungu anavyotaka bila kusahau jamii na sheria za nchi zinataka nini. Kuishi kama...
  13. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

    Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
  15. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yafuta rasmi Hukumu ya Kifo baada ya kutotekelezwa kwa miaka 19

    Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha Sheria inayofuta rasmi adhabu ya Kifo ambayo kama ingeendelea kutekelezwa, ingeondoa uhai wa Wafungwa takriban 60 waliohukumiwa adhabu hiyo. Shirika la Amnesty International limepongeza hatua hiyo na kuielezea kama hatua muhimu katika juhudi za kimataifa...
  16. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiislamu Zinazotoa Hukumu ya Kifo kwa Kuacha Uislamu

    Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa mfanyabiashara Truong My Lan yathibitishwa

    Mfanya biashara wa Vietnam mwanamama aliyehukumiwa kifo na mahakama ya Hoch Min City mwezi wa April kwa kosa la kughushi nyaraka na kujipatia fedha kiasi Cha Trillioni ishirini, na baadaye kukata Rufaa akitaka apunguziwe hukumu hiyo mpaka kifungo Cha maisha. Baada ya kukata Rufaa Mahakama ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua katika hukumu za kifo ni kuwa kila binadamu anaogopa kuua binadamu wengine

    Nilikuwa napitia Hukumu ya Afande Zombe katika ile Kesi ya Muuza Madini aliyeuawa Mabwepande Jaji alisema Zombe hana hatia Kwa Sababu Siyo yeye aliyefyatua risasi iliyomuuwa Muuza Madini Pia soma: Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaosubiri kutekelezwa kwa hukumu ya kifo, siku au dakika za mwisho huwa wanakuwa katika hali gani?

    Kuna jambo limenikumbusha vita ya ghuba(Second Persian Gulf war) ile iliyomuondoa madarakani aliekuwa Raisi wa Iraq, Bwana Saddam Hussein. Nikakumbuka huyu bwana alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa. Saddam ni mfano tu wa watu wengi waliouwawa kwa adhabu ya kifo iwe kwa kunyongwa...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

    Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba. Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba...
Back
Top Bottom