Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202

​

Nidal Hasan

Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters
Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth.
Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa utekelezaji wa hukumu dhidi ya Nidal Hasan, ambaye aliwaua wanajeshi 13 wasio na silaha katika shambulio la Fort Hood mwaka 2009, utarushwa mubashara.
Inaaminika kuwa huu unaweza kuwa utekelezaji wa kwanza wa hukumu ya kifo unaorushwa hadharani nchini Marekani katika karibu karne moja.
Mwanasheria John Mills, ambaye hufanya kazi na wafungwa waliohukumiwa kifo, amesema uamuzi wa kurusha mubashara tukio hilo ni "wa kipekee katika enzi za kisasa" na unafanyika katika mazingira yenye maswali ya kisheria.
"Tutahakikisha watu wanaweza kushuhudia, na kwamba utekelezaji huo unakuwa wa wazi kwa umma," alisema Pete Hegseth.
"Pia watu wanapaswa kuelewa kuwa matendo ya aina hii yana madhara na adhabu kubwa."
Mapema wiki hii, Pentagon ilitangaza kuwa itamtekelezea Nidal Hasan hukumu ya kifo, utekelezaji wa kwanza wa kijeshi nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 60.
Pete Hegseth alisema katika mahojiano na kituo cha televisheni cha kihafidhina cha Real America's Voice kwamba Nidal Hasan "atapokea adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi na kikosi cha wanajeshi. Ndivyo inavyopaswa kuwa."
Alipoulizwa iwapo Nidal Hasan alikuwa ametoa ombi lolote la mwisho au kuwasiliana na Rais Donald Trump, Pete Hegseth alijibu:
"Sijali. Tutakutana naye tarehe 3 Desemba."
Msemaji wa Pentagon, Sean Parnell, alisema siku ya Jumatatu kwamba Pete Hegseth alikuwa ametoa pendekezo la utekelezaji wa hukumu hiyo kwa njia ya kikosi cha risasi, na kwamba Rais Donald Trump aliidhinisha uamuzi huo
 
sijawahi kusikia USA ikipinga adhabu ya kifo kwani ipo USA, nafikiri unachanganya USA vs ngo, kuna mashirika mengi yasio ya kiserikali ambayo yako USA yanapinga adhabu ya kifo kwa ujumla na yamefanikiwa kwa mfano nchi za ulaya wamefuta lkn USA adhabu ya kifo bado ipo na huyo terrorist uliyemuweka alikuwa military man aliyeua watu hivyo sioni tatizo hapo ...
 
Na zile kelele za Iran zilikuwa za NGO ???
 
Kuhusu kunyongwa sio Suala la Nchi, inategemea state kwa state. Zinatofautiana.
 
Na zile kelele za Iran zilikuwa za NGO ???
Itakuwa ni wanasiasa binafsi, ila marekani adhabu ya kunyongwa ipo, ingawa wanatofautiana state kwa state kwa namna ya utekelezaji. Kwa mfano Jimbo la Texas, Governor ndio mwenye kusaini mtu anyongwe. Hivyo Kila Jimbo Lina namna yake ya kutekeleza adhabu ya kifo.
 
Huu ni utetez wa kirofa
Nani anatetea Nini? Nimemjibu mleta mada ya kwamba adhabu ya kifo ipo Marekani ikawa Suala hilo linatekelezwa Zaidi na majimbo. Kwa hivyo lazima uanagalie Sheria za Jimbo zinasemaje kuhusu utekelezaji wa adhabu ya kifo.
 
​

Nidal Hasan

Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters
Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth.
Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa utekelezaji wa hukumu dhidi ya Nidal Hasan, ambaye aliwaua wanajeshi 13 wasio na silaha katika shambulio la Fort Hood mwaka 2009, utarushwa mubashara.
Inaaminika kuwa huu unaweza kuwa utekelezaji wa kwanza wa hukumu ya kifo unaorushwa hadharani nchini Marekani katika karibu karne moja.
Mwanasheria John Mills, ambaye hufanya kazi na wafungwa waliohukumiwa kifo, amesema uamuzi wa kurusha mubashara tukio hilo ni "wa kipekee katika enzi za kisasa" na unafanyika katika mazingira yenye maswali ya kisheria.
"Tutahakikisha watu wanaweza kushuhudia, na kwamba utekelezaji huo unakuwa wa wazi kwa umma," alisema Pete Hegseth.
"Pia watu wanapaswa kuelewa kuwa matendo ya aina hii yana madhara na adhabu kubwa."
Mapema wiki hii, Pentagon ilitangaza kuwa itamtekelezea Nidal Hasan hukumu ya kifo, utekelezaji wa kwanza wa kijeshi nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 60.
Pete Hegseth alisema katika mahojiano na kituo cha televisheni cha kihafidhina cha Real America's Voice kwamba Nidal Hasan "atapokea adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi na kikosi cha wanajeshi. Ndivyo inavyopaswa kuwa."
Alipoulizwa iwapo Nidal Hasan alikuwa ametoa ombi lolote la mwisho au kuwasiliana na Rais Donald Trump, Pete Hegseth alijibu:
"Sijali. Tutakutana naye tarehe 3 Desemba."
Msemaji wa Pentagon, Sean Parnell, alisema siku ya Jumatatu kwamba Pete Hegseth alikuwa ametoa pendekezo la utekelezaji wa hukumu hiyo kwa njia ya kikosi cha risasi, na kwamba Rais Donald Trump aliidhinisha uamuzi huo
Hakuna hukumu muhimu kama hukumu ya kifo kwa mambo ya msingi ya kitaifa na kiserikali ..siyo mambo ya kipumbavu ya ubakaji ...hukumu ya kifo inatakiwa kutolewa kwa makundi haya
1 )mafisadi wakubwa wa kiserikali.

2)viongozi wanao chukia uzalendo na kuwa chukia watu wazalendo.

3)viongozi wa dini wanaotumia dini kutapeli watu mali zao na pesa zao.

4)viongozi wa dini wanao fanya njama ya kuingiza dini serikalini.

5)viongozi wa wanao jaribu kulazimisha watu dini zao.

6)viongozi au wafanyakazi wa serikali wanao jaribu kuingiza dini serikalini.

7)viongozi wa siasa wanao leta dini au kutumia dini kwenye siasa.

8) series killer

9) Series matapeli (kama desi n k)

10)kuua dhidi ya haki (siyo kuua kwa haki).

HAYA NDIYO MAKUNDI YANAYO PASA KUPEWA HUKUMU ZA JUU HADI HIYO YA KIFO .
 
Na zile kelele za Iran zilikuwa za NGO ???

unaweza kuweka ushahidi hapa wa hizo "kelele" ktk US government isitoshe islamic iran inayonga watu tu kwa kukataa islam, hilo siyo sawa, USA wanaopewa adhabu ya kifo ni murderers wameua binadamu wengine na ni baada miaka mingi ya legal process i.e hata aliyeua ana haki ya kusikilizwa pia na ndiyo maana huchukuwa miaka mingi mpaka killers aje kunyongwa kama huyu muslim terrorist ...
 
Katika nchi zinazojiita za kiislamu kama Saudi Arabia, Iran na hata Pakistan, ijumaa kama leo baada ya swala ya Al Adhuhur ni siku maalum ya kuua watu hadharani kwenye viwanja vya mpira.

Wao hivyo viwanja vina kazi nyingine muhimu kwao tofauti kabisa na kandanda.

Nchi zinazojiita za kiislamu ndizo zinaongoza duniani kwa kuua watu na hii ni kwa msingi wa quran tukufu.
 
Marekani nayo inataka kumpiga risasi hadharani huyo Nidal Hassan.
Kiranga Kichuguu
 
Kwa nini Marekani ndiyo inakuwa habari, ndiyo inakuwa standard mnayoitumia?
Hao huwa wanajiita wastaarabu kumbe nao pia wanatamani kuua Wahalifu hadharani kama Iran,Saud Arabia.
 
Jamii ya Marekani imezaliwa katika ubabe wa utumwa, kukulia katika mapinduzi ya kivita na kustawi katika ubepari usio na simile.

Haina hata bima ya afya kwa wote wala elimu ya vyuo nafuu ya umma ya maana.

Ustaarabu unatokea wapi hapo?

Huku ni ubabe tu, ukidanganywa na movies za Hollywood hilo ni tatizo lako.

Angalia list za kimataifa za nchi zilizoendelea kwenye mambo kama elimu, afya, demokrasia, uone Marekani ilivyoachwa mbali sana na nchi nyingi ndogo tu.

Tatizo mnakariri Marekani, Marekani, kama Marekani ni nchi ya kupigiwa mfano, badala ya kuangalia data.
 
Marekani wamekuwa mistari wa mbele kushutumu nchi kama China (inayoongoza kwa kuua Wahalifu), Iran, Pakistan n.k kwa ukiukaji haki za binadamu kumbe nao wachafu tu.

Utawala wa Trump umeonesha sura halisi ya Marekani.
 
Kitu kingine watu wanachotakiwa kuelewa ni kwamba jamii ya Kimarekani imegawanyika sana, si kitu kimoja.

Kiutamaduni, watu wa Northeast US si sawa na watu kama wa Texas. Texas/Southern US unaweza kukuta watu wanaokubali hukumu ya kifo kuliko Northeast US.

Republicans wanakubali hukumu ya kifo kuliko Democrats.

Conservatives wanakubali hukumu ya kifo kuliko Liberals.

Red states wanakubali hukumu ya kifo kuliko blue states.

Hukumu ya kifo Marekani ipo kimajimbo, kuna majimbo 27 yana hukumu ya kifo. Majimbo 23 pamoja na Washington DC hayana hukumu ya kifo.

Kwa mujibu wa Gallup poll ya October 2025 52% ya Wamarekani wana support hukumu ya kifo

Mpaka hapo utaona hii ni nchi ambayo imegawanyika sana, haina msimamo mmoja.

Sasa hapo ukiondoka uongozi wa Democrats waliopinga hukumu ya kifo, ukija uongozi wa Republicans wanaopenda hukumu ya kifo, kwa mtu asiyeelewa hilo jambo, asiyeelewa habari za Democrats na Republicans, anaona wote Wamarekani, anaweza kuona hawa Wamarekani mbona vigeugeu?

Kumbe ndiyo mfumo wao ulivyo.
 
Kama wao wenyewe wamegawanyika hivi kipi tena kinawapa jeuri ya kuamini wanaweza kugeuza nchi zingine zifuate mfumo wao wa kisiasa kwa kuzivamia kijeshi au huwa mbinu tu ya kunufaisha makampuni yao ya silaha na biashara?..
 
Back
Top Bottom