Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

Kama wao wenyewe wamegawanyika hivi kipi tena kinawapa jeuri ya kuamini wanaweza kugeuza nchi zingine zifuate mfumo wao wa kisiasa kwa kuzivamia kijeshi au huwa mbinu tu ya kunufaisha makampuni yao ya silaha na biashara?..
Hata hayo mambo si mambo yanayokubalika na Wamarekani wote.

Yaninujushasema "Wamarekani wanasema hivi..." tu, inabidi u qualify hiyo habari, kwa sababu si Wamarekani wote wanakubaliana.

Na unaweza kukuta hao wanaotaka kugeuza nchi nyingine wanaona wanaweza kuwageuza Wamarekani wenzao na hao watu wa nchi nyingine.

There is no contradiction there.

In fact, it is a false dichotomy kusema kwamba kama Mmarekani hawezi kumbadilisha Mmarekani mwenzake asitake kuibadilisha dunia.
 
Hata hayo mambo si mambo yanayokubalika na Wamarekani wote.

Yaninujushasema "Wamarekani wanasema hivi..." tu, inabidi u qualify hiyo habari, kwa sababu si Wamarekani wote wanakubaliana.

Na unaweza kukuta hao wanaotaka kugeuza nchi nyingine wanaona wanaweza kuwageuza Wamarekani wenzao na hao watu wa nchi nyingine.

There is no contradiction there.

In fact, it is a false dichotomy kusema kwamba kama Mmarekani hawezi kumbadilisha Mmarekani mwenzake asitake kuibadilisha dunia.
Tawala zote za Marekani bila kujali Democrats and au Republic toka mwaka 1979 wamekuwa wakiimba wimbo wa 'regime' change huko Iran.

Vipi useme sio Wamarekani wote wakati Kila utawala umekuwa ukijaribu hilo?..
 
Tawala zote za Marekani bila kujali Democrats and au Republic toka mwaka 1979 wamekuwa wakiimba wimbo wa 'regime' change huko Iran.

Vipi useme sio Wamarekani wote wakati Kila utawala umekuwa ukijaribu hilo?..

Question.

Did every US administration since 1979 advocate for regime change in Iran?

Answer (Meta AI)

No — official U.S. policy has mostly been containment and behavior change, not explicit regime change, though the rhetoric has gone back and forth.

Here's the brief history by administration:

Carter (1977-81): Actually tried to save the Shah by sending a general to encourage an Iranian military coup, then when that failed tried to establish relations with the new Islamic Republic. After the Embassy hostage crisis in Nov 1979, policy became sanctions + diplomatic isolation and deterrence — "containing Iran" — not overthrowing it. 06f2

Reagan (1981-89): Also adopted containment. Despite the "cowboy" reputation, he showed "remarkable reluctance to confront Iran" even after Hezbollah — created by Iran's Revolutionary Guard — bombed the US Embassy and Marine barracks in Beirut killing 241 Marines. He even secretly sold weapons to Iran in Iran-Contra. 06f2

Bush Sr. and Clinton: Continued containment: sanctions (Clinton imposed oil embargo in 1995 and Iran-Libya Sanctions Act in 1996), dual-containment of Iran and Iraq. Funding for some pro-monarchist exile groups in the 80s, but not an open regime-change doctrine.

George W. Bush (2001-09): This is where open talk returns. After 9/11, Bush called Iran part of an "axis of evil" in 2002, and his 2005 inaugural and State of the Union speeches said "our nation hopes one day to be the closest of friends with a free and democratic Iran" — widely read as a preference for regime change. Congress passed the Iran Freedom Support Act (2006) funding democracy promotion. But by 2006 the administration shifted away from that option to multilateral sanctions/diplomacy. 0cb7

Obama (2009-17): Explicitly did not support regime change. Research summary notes: "President Obama has not expressed support for a regime change option". Policy was JCPOA nuclear deal — change behavior on nukes, not government. 0cb7

Trump 1, Biden, Trump 2: Maximum pressure via sanctions, support for protesters and dissident voices, strikes on proxies, but official doctrine has remained "regime change must come from within" — pressure + support for internal opposition, not US-imposed overthrow.

In short: Iranian leaders claim the US has always sought regime change since 1953 and 1979, but the documented US policy since 1979 has been mostly isolation, sanctions, and deterrence, with only brief periods (early 1980s exile funding, 2002-2005) where Washington openly flirted with advocating for a new government.
 
Wakishika madaraka Republican hukumu ya kifo huwa inakuwepo na inatekelezwa,wakishika Democrats hukumu ya kifo huwa hakuna.ila pia katika level ya states kuna baadhi ya states chache hawana hukumu ya kifo
 
Katika nchi zinazojiita za kiislamu kama Saudi Arabia, Iran na hata Pakistan, ijumaa kama leo baada ya swala ya Al Adhuhur ni siku maalum ya kuua watu hadharani kwenye viwanja vya mpira.

Wao hivyo viwanja vina kazi nyingine muhimu kwao tofauti kabisa na kandanda.

Nchi zinazojiita za kiislamu ndizo zinaongoza duniani kwa kuua watu na hii ni kwa msingi wa quran tukufu.
Makosa yenyewe sasa! Kutoa different opinion against viongozi hata kama ni constructive, kukutwa na vitabu "visivyoruhusiwa", kubadili imani, na maujinga mengine mengi.

Halafu watu humu wanajaribu kulinganisha na Marekani ambako sana sana adhabu ya kifo ni kwa kosa la mauwaji tena baada ya process ndefu na ya haki kwa mkosaji! Huyu alikata rufaa sio chini ya mara tano lakini mara zote kaangukia pua!

Kule kwa Kim sidhani hata kama wana msamiati uitwao rufaa!
 
Back
Top Bottom