Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya Nidal Malik Hasan, aliyepatikana na hatia ya kuua wanajeshi 13 katika shambulio la risasi kwenye kambi ya kijeshi ya Fort Hood mwaka 2009, hautaonyeshwa moja kwa moja kwa umma. Uamuzi huo umekuja baada ya wazo la kurusha tukio hilo kuibua mjadala nchini Marekani.
Trump Afuta Mpango wa Kurusha Mubashara Utekelezaji wa Hukumu ya Kifo Trump Afuta Mpango wa Kurusha Mubashara Utekelezaji wa Hukumu ya Kifo
Trump Afuta Mpango wa Kurusha Mubashara Utekelezaji wa Hukumu ya Kifo Trump Afuta Mpango wa Kurusha Mubashara Utekelezaji wa Hukumu ya Kifo