hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. Maxence Melo

    Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

    Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
  2. Roving Journalist

    KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

    Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums inatarajiwa kusomwa leo Novemba 17, 2020 katika Mahakama ya Kisutu Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa wanashtakiwa kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa kwa kikoa cha DO-TZ Katika shtaka la pili, Polisi ilimtaka...
  3. N

    Hukumu ya kutawadha

    Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa: a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu 1. Kuswali Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni} [5...
  4. J

    Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  5. M

    Ni Mungu pekee ndiye hutoa haki na hukumu ya kweli na si mwanadamu

    Nimeamua kuwaelimisha watanzania walio wengi wanaojifanya kujisahaulisha kuhusiana na uwepo wa Mungu Kwanza naomba nimuonye mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kauli zake anapoomba kula kwa watanzania akidai atatenda haki. Pili nimpongeze Dkt. Magufuli kwa kauli zake za kumuogopa...
  6. B

    Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Hukumu za Watawala; mtawala yeyote asome hapa

    HUKUMU ZA WAFALME/RAIS Na, Robert Heriel Kuna mambo manne yanayomuongoza mfalme/rais katika kutoa hukumu. Mambo hayo ni pamoja na; 1. Sheria za nchi (au imani kama taifa linaongozwa kidini) 2. Hekima/ Akili 3. Maslahi 4. Baraza la washauri Tangu zamani mambo hayo ndio humuongoza kiongozi...
  8. J

    Kamati ya maadili: Hukumu ya Halima Mdee wa Chadema kutolewa leo saa 7.00 mchana!

    Kamati ya maadili manispaa ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa ama kumfungia siku 7 Halima Mdee wa CHADEMA au la kufuatia malalamiko ya CCM na mgombea wao Dr Gwajima kwamba Mdee alitumia lugha isiyofaa. Source Umoja Tv!
  9. Miss Zomboko

    Hukumu ya shambulio la Westgate 2013 yatarajiwa kutolewa leo kwa watuhumiwa waliohusika

    Hatma ya washukiwa wa shambulizi dhidi ya jengo la Westgate kujulikana Jumanne hii Hukumu ya washukiwa wa mlipuko wa kigaidi katika jengo kubwa la maduka la Westgate jijini Nairobi mwaka 2013 na kusababisha vifo vya watu 67 inatarajiwa kutolewa leo Jumanne baada ya kuahirishwa jana. Jaji...
  10. M

    Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  11. Mwanahabari Huru

    Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

    Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7. Wiki...
  12. M

    Adhabu ya Tundu Lissu kuanza siku atakayopewa barua ya hukumu ya Tume

    Bila kujali adhabu ya Tume ni halali au ni batili adhabu ila ni ya kisheria. Sasa adhabu za namna hiyo zinaanza pale ambapo umepewa taarifa ya ya hukumu. Kifungu 19(2) cha Law of Limitation Act, [Cap. 89, R.E. 2002] kinasema hivi, "In computing the period of limitation prescribed for an...
  13. Roving Journalist

    Kisutu: Kesi #458 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums, hukumu yapangwa Oktoba 30, 2020

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Forums na Mwanahisa wa Jamii Media) imeendelea leo, 21 SEPT 2020 asubuhi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar. Kutoka Kushoto: Wakili Benedict Inshabakaki, Mwanahisa wa Jamii Media...
  14. Return Of Undertaker

    Shangazi: Tume ina majaji 4 lakini wote kama hawajui sheria na hukumu ipo kuwa Maandamano huwa hayahitaji kibali

    NEC ina makamishna 4 majaji na nina hakika wanaelewa kuwa Mahakama ya Rufaani ilitoa HUKUMU kwamba wananchi hawahitaji KIBALI kutoka popote ili kuandamana PEACEFULLY. Polisi ijuilishwe tu lakini kazi yake si kutoa KIBALI! #FactCheck TUME isipate #ElectionFever https://t.co/mAScpweFMb
  15. anonymousafrica

    Huwezi kimbia kifo, alitoroka hukumu ya kifo akafa kwa kipigo bar

    Georgia, Marekani, hili ndilo tulio la kwanza kwa mtu aliyehukumiwa kifo kutoroka gerezani. Alitoroka siku moja kabla ya hukumu yake ya kifo. Bahati mbaya mtu huyo, alifariki kesho yake kwenye ugomvi uliotokea BAR Troy Leon Gregg alizaliwa April 22, mwaka 1948 na kufariki July 29 mwaka 1980...
  16. Japhet Karibu

    Wajuzi wa sheria, je kwa hukumu hii Mh. Zitto ataweza kugombea nafasi yoyote ya katika Uchaguzi Mkuu?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Je, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, ndugu Zitto sheria za uchaguzi zinamruhusu kugombea nafasi yoyote, mfano nafasi ya ubunge nk?
  17. Analogia Malenga

    Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  18. Suphian Juma

    Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

    Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi' (Kesi ya Jinai Na. 327/2018). Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu...
  19. Pascal Mayalla

    Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...
Back
Top Bottom