Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema changamoto ya kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki iliyojitokeza jana June 21, 2022 imekwisha na sasa huduma tayari imerejea kwenye hali yake ya kawaida na wateja wanaweza kununua umeme kupitia njia zote.
Pia, soma=>...