Hello ndugu zangu, mimi ni jinsia (ke) nina miaka 25 nina shahada ya lishe (2022) lakini pia nina uzoefu wa kufanya kazi za miradi ya afya na lishe (nimefanya intern kwenye miradi hiyo kwa muda wa mwaka mmoja na shirika la world vision).
Pia nina research skills + ujuzi mzuri wa kutumia...