Ya OUT in Bachelor of Science in Food, Nutrition and Dietetics hii ina uwanja mpaka zaidi kuliko hizo zingine.Wakuu naomba tofauti kati ya hizo kozi na pia je hali yake ya ajira ipoje kwa sasa
Ngoja nikupe Tofauti mkuu.Wakuu naomba tofauti kati ya hizo kozi na pia je hali yake ya ajira ipoje kwa sasa
Ya open na Udom ziko sawa ukimaliza zote unafanya internship na unakuwa under MCTYa OUT in Bachelor of Science in Food, Nutrition and Dietetics hii ina uwanja mpaka zaidi kuliko hizo zingine.
Asante sana aise umeelewekNgoja nikupe Tofauti mkuu.
1.Bachelor of science in nutrition ya SUA hii ni degree kongwe na ndio iliyozalisha maafisa lishe wengi mtaani japo changamoto yake ni mshahara wake mdogo serikalini wanaanza kama na TGS D So mtu ajilipue.
2.Bachelor of science nutrition and dietetics ya OPEN mwanzo ilikuwa kama SUA ila wakaongezea neno dietician ili waendane na clinical nutrition na waka update curriculum kama kusoma anatomy, biochemistry na mambo mengi ya dietetics ili mtu akimaliza awe Tabibu lishe Kwa hiyo kuanzia waliomaliza mwaka jana na Wao wameanza kufanya internship na watasajiliwa na chama cha. Madaktari MCT.
3.Bachelor of science clinical nutrition hii ilianzishwa mwaka 2019 nadhani batch yake imeanza internship mwaka jana ili wawe chini ya MCT.
HITIMISHO.
BACHELOR YA OPEN NA UDOM tofauti ni miaka ila wote wanaandaliwa kuwa matabibu wa lishe Tanzania na wakimaliza wanafanya internship na wanakuwa chini ya chama cha madaktari (MCT)
Kingine hii course mshahara wake kwenye mapendekezo uwe TGHS D na hazijawa na muundo mpya japo hii kesi ni ya course nyingi sana Tanzania tusubiri uje.
BACHELOR YA SUA Bado imebaki kuzalisha maafisha lishe nao Wana MCHANGO mkubwa sana
Sawa sawa, wewe umesoma ipi na umeshafanya intern?Ya open na Udom ziko sawa ukimaliza zote unafanya internship na unakuwa under MCT
Hapana hiyo OUT toka ianzishwe neno Dietetics lilikuwepo na imeanza kabla ya hiyo ya UDOM. Anatomy na Biochemistry walikuwa wanasoma pia. Unayozungumzia wewe iliyokuwa inafanana na SUA ni BSc. Home Economics and Human Nutrition ambayo walishaifuta.Ngoja nikupe Tofauti mkuu.
1.Bachelor of science in nutrition ya SUA hii ni degree kongwe na ndio iliyozalisha maafisa lishe wengi mtaani japo changamoto yake ni mshahara wake mdogo serikalini wanaanza kama na TGS D So mtu ajilipue.
2.Bachelor of science nutrition and dietetics ya OPEN mwanzo ilikuwa kama SUA ila wakaongezea neno dietician ili waendane na clinical nutrition na waka update curriculum kama kusoma anatomy, biochemistry na mambo mengi ya dietetics ili mtu akimaliza awe Tabibu lishe Kwa hiyo kuanzia waliomaliza mwaka jana na Wao wameanza kufanya internship na watasajiliwa na chama cha. Madaktari MCT.
3.Bachelor of science clinical nutrition hii ilianzishwa mwaka 2019 nadhani batch yake imeanza internship mwaka jana ili wawe chini ya MCT.
HITIMISHO.
BACHELOR YA OPEN NA UDOM tofauti ni miaka ila wote wanaandaliwa kuwa matabibu wa lishe Tanzania na wakimaliza wanafanya internship na wanakuwa chini ya chama cha madaktari (MCT)
Kingine hii course mshahara wake kwenye mapendekezo uwe TGHS D na hazijawa na muundo mpya japo hii kesi ni ya course nyingi sana Tanzania tusubiri uje.
BACHELOR YA SUA Bado imebaki kuzalisha maafisha lishe nao Wana MCHANGO mkubwa sana
Sawa ,Tuambie tofauti yake ni ipi?Hapana hiyo OUT toka ianzishwe neno Dietetics lilikuwepo na imeanza kabla ya hiyo ya UDOM. Anatomy na Biochemistry walikuwa wanasoma pia. Unayozungumzia wewe iliyokuwa inafanana na SUA ni BSc. Home Economics and Human Nutrition ambayo walishaifuta.
Hawana tofauti kubwa ila BSc. Food, Nutrition and Dietetics ipo wide zaidi anaweza kufanya kazi pia hata viwandani kwa sababu ya component ya Food. Clinical Nutrition and Dietetics wao wapo vizuri zaid kwenye Clinical areas ila kwa ujumla BSc. Food, Nutrition and Dietetics and BSc. Clinical Nutrition and Dietetics zinafana wote wanafiti kwenye kumuhudumia mgonjwa hospitali.Sawa ,Tuambie tofauti yake ni ipi?
Kaka Hizi degree muundo wake unakuja lini?Hawana tofauti kubwa ila BSc. Food, Nutrition and Dietetics ipo wide zaidi anaweza kufanya kazi pia hata viwandani kwa sababu ya component ya Food. Clinical Nutrition and Dietetics wao wapo vizuri zaid kwenye Clinical areas ila kwa ujumla BSc. Food, Nutrition and Dietetics and BSc. Clinical Nutrition and Dietetics zinafana wote wanafiti kwenye kumuhudumia mgonjwa hospitali.
Sifahamu ila haitachukua muda ndani ya miaka 3 itakuwa tayari kwa sababu Diploma ya Clinical Nutrition imeanza mwaka huu piaKaka Hizi degree muundo wake unakuja lini?
Nataka nianze degree yake ya nutrition open mwaka huu.....nipgie nikiwa job nimeomba udom nafasi naona chache kupataSifahamu ila haitachukua muda ndani ya miaka 3 itakuwa tayari kwa sababu Diploma ya Clinical Nutrition imeanza mwaka huu pia
Yes omba hata ya OUT ni nzuri sana pia utasoma huku unaendelea na kazi.Nataka nianze degree yake ya nutrition open mwaka huu.....nipgie nikiwa job nimeomba udom nafasi naona chache kupata
Uwe na PCB, CBN, CBA au CBG wote wanapokelewa na ufaulu uwe wakuridhisha.Dogo ulisoma CBG au
Hiyo programm ya open wameenda intern lini ?Ngoja nikupe Tofauti mkuu.