Niaje,
Nilitumiwa ujumbe huu kwenye simu yangu;
ZUIAUHALIFU
Jihadhari na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Watu wanatumikishwa, wanateswa, wanatolewa figo na kuuawa.
Tushirikiane kupiga vita uhalifu huu.
...
Nani mwingine amepata ujumbe kama huu kwenye simu yake?
OVA
Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM
haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL.
Siamin kama CCM imefikia hapa, nachoamin CCM imevamiwa na Majizi!!.
Nimalizie kwakusema, Wakati wa JPM hayakuwepo...
Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.
Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
Jana tarehe 14/08/2023 kupitia ukurasa wa ITV nimesoma habari ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu huko Katavi waliokuwa wakisafirishwa kupitia tenki la mafuta. Ni habari ya kutisha sana. Kilichonitisha zaidi ni baada ya kusoma comments.
Kiufupi ni kuwa watu wengi wamelaumu mtu aliyewapa taarifa...
Imezoeleka watu kufahamu biashara haramu ya binadamu kama biashara inayofanyika kwa kuvuka mipaka, yaani kati ya nchi moja kwenda nchi nyingine, lakini ukweli ni kwamba biashara haramu ya binadamu imeshamiri sana hata ndani ya mipaka ya nchi.
Vijana hawa wengi unaowaona wanatembea barabarani...
Usafirishaji Haramu wa Binadamu unatajwa kuwa janga linaloendelea kukua, hususan kwa Wanawake na Wasichana ambao ni wahanga wakubwa
Mapigano, Mabadiliko ya Tabia Nchi, Umasikini na Ukosefu wa Usawa vimeacha Mamilioni ya watu bila matumaini. Wanaofanya Biashara hii haramu wanatumia changamoto...
Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu
Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.