Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district
Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais.
Inawezekana chama kinajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote ule, ila bado nilitarajia kutokana na furaha ya ushindi, mmoja wa viongozi...
Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu.
Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo, bado changamoto ni kubwa sana tena kwenye yale mambo ya msingi kabisa hasa Maji, Umeme, Afya, Elimu...
Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari.
---
Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa sita akianzia Pwani na kumalizia mkoani Dodoma Oktoba 26, 2020...
NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI
11 Oktoba 2020
1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
Ndugu Polepole
Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba.
Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka...
Kutoka afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar ndugu katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole anaongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kampeni za wagombea kuanzia ngazi ya Urais mpaka udiwani. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri.
========
Polepole: Kesho October 03 2020 katika Viwanja vya...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV
Up dates;
Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole
EastAfricaRadio
Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi /...
Nilimtegemea kiongozi huyu mpenda kusema awe hewahi kuwaelekeza wenye uhitaji wa kugombea nafasi mbali mbali za majimbo ndani ya CCM wafanye nini. Naona yuko kimya baada ya mkutano mkuu. Nini kimempata? Au ni baada ya kugundua rushwa imetawala sasa yuko hoi?
Ninawategemea vyama vya upinzani pia...
Wanabodi,
CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili...
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.