Habari wakuu,
Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission.
Kama upo hapa tafadhali niandikie email
[email protected] au tuwasiliane kwa private message/direct...