hushpuppi

  1. mr_stev001

    Pesa sio kila kitu

    Amin kuwa pesa haiwez nunua kila kitu au kufanya kila kitu vuta picha siku upo home umelala bank una kama m 10 💰hivi ila 📱imezima afu umezidiwaaa unaumwa atari ata kunyanyua mguu unashiwa ndan una kama jiwe 2 🌝 ndo unachomoka ikiwa pesa unazo mtu wangu
  2. BARD AI

    Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

    Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa jana Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani. Hata hivyo kwa kuwa tayari...
  3. M

    SI KWELI Hushpuppi afanya ulaghai wa kutakatisha zaidi ya Tsh. Bilioni 900 akiwa Gerezani nchini Marekani

    Aliyekuwa Gwiji wa utakatishaji fedha aliyejipatia umaarufu mitandaoni hasa Instagram, anayejulikana Kwa jina la Hushpuppi amefunguliwa mashtaka mapya na waendesha mashitaka wa Marekani wakimtuhumu kufanya ulaghai na kutakatisha zaidi ya dola za marekani 400,000 (zaidi ya Tsh Milioni 900) akiwa...
  4. M

    Jinsi Hushpuppi tapeli la kinaigeria na genge lake walivyomtapeli Mqatari 1.3 million dollars

    By Vincent Achuka Reporter Nation Media Group As an unwritten rule in all global Internet frauds, no matter the amount of money stolen or the friendships that exist between gang members, all scams end when the scammers turn on each other. On Thursday, the United states indicted Kenyan...
  5. M

    Tapeli Mkenya Abdul Juma ndie alipelekea Hushpuppi kukamatwa

    Mzuka wanajamvi! Yule Tapeli maarufu kutoka Nigeria alipata umaarufu kwa kugonga vichwa vya habari duniani kwa utapeli mitandaoni na kujipatia kiasi kikubwa cha mamilion ya dollars za kimarekani Ramon Abbas almaar Hushpuppi juzi Alhamisi kafunguliwa kesi rasmi na FBI. Ila cha kushangaza...
Back
Top Bottom