hussein bashe

Hussein Mohamed Bashe (born 26 August 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Nzega Urban constituency since 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbepo yamba

    Hussein Bashe ataacha lini kuwahadaa watanzania kwa ruzuku ya tumbaku?

    Wana bodies, Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku . Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
  2. Yoda

    DOKEZO Bashe anafahamu kama kuna uhaba wa malimao nchini? Kwanini hakuna hatua za dharula kama za sukari ?

    Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye kachumbari bila limao! Bashe na waziri wa biashara chukueni hatua za dharura malimao yapatikane...
  3. figganigga

    Luhaga Mpina (Mb) ataka Waziri wa Fedha na Waziri wa Kilimo wasimamishwe kazi

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni maelezo kwa Ufupi ya Mbunge Luhaga Mpina aliyo yatoa kwenye mahojiano na Waandishi wa habari wiki hii Jijini Dar Es Salaam alipokuwa akitoka Mahakamani. Pia alitoa maagizo kwa mawakili wake waiombe Mahakama Kuu ya Tanzania itoe maelekezo kwa Waziri wa Kilimo Mh...
  4. L

    Waziri Hussein Bashe nifikishie pongezi hizi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu bei ya korosho

    Kwanza nakusalimia sana Mhe Waziri wa Kilimo. Nina mengi sana ya kusema lkn sitak nikuchoshe. Kubwa zaidi nataka nikwambie kuwa leo Jumapili Wakulima wa korosho Lindi wameuza korosho zao kilo kwa efu 4150 kule Ruangwa na 4025 kule Nachingwea. Wananchi wa mkoa huo wamefurahia mno korosho kuwa...
  5. ChoiceVariable

    Masasi: Waziri Bashe aagiza diwani wa CCM kutiwa mbaroni kwa tuhuma za kutafuna fedha za wakulima milioni 139

    Hongera Waziri Bashe.Hakuna kuchekeana Wala kuoneana huruma kwa mafisadi wote bila kujalisha hadhi Yao. My Take: Wakulima ungeni mkono juhudi za Waziri Bashe kupambana kuinua Kilimo. Kazi iendelee,ajenda 10/30. --------------- Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa agizo la kushikiliwa kwa...
  6. L

    Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana, kusononeka sana,kushangazwa sana,kuumia sana ,kutoamini macho na masikio yangu kwa kile nilichokiona na kusikia maneno na kauli za waziri wa kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe. Maneno ya Mheshimiwa Waziri yakisema kuwa serikali haitapeleka huduma za...
  7. Cute Wife

    Kesi ya Mpina dhidi ya Bashe na Spika Tulia imeanza kusikilizwa Mahakamani leo Agost 28, 2024

    Kesi iliyofunguliwa na Mbunge Luhaga Mpina dhidi ya Waziri Bashe, Spika , Mwanasheria Mkuu wa Seriikali na wengine imeanza ksikilizwa leo Agosti, 28, 2024 katika Mahakama Kuu Dar Es Salaam. Pia soma: Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni...
  8. B

    KERO NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati mwaka 2024/2025. Haya ni mateso na uonevu

    Habari, imekuwa tatizo, kero, usumbufu kwa wakulima wa mahindi nchini linapokuja suala la kuuza mahindi kwa wakala wa chakula NRFA kulipa fedha kwa wakati. Waziri wa kilimo katika ziara ya Mh. Rais Samia kule Sumbawanga aliahidi kuwa kupitia wakala wa chakula NRFA watanunua mahindi kwa bei ya...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Kikao na Maafisa Ugani, Ikulu ya Chamwino, Agosti 10, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=e_BQv2Q_JjE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kikao na Maafisa Ugani na Wanaushirika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 10 Agosti, 2024. UPDATES ABDULMAJID NSEKELA, M/kiti Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika...
  10. S

    Zaidi ya Wakulima wa miwa 11,000 Kilombero Morogoro wameungana na Mpina kumpeleka Bashe mahakamani

    Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao...
  11. M

    Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  12. S

    Wanasheria wa Tanzania acheni kuwinda teuzi. Jitokezeni kwa wingi kumsaidia Mpina katika kesi yake.

    Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini. Wanasheria acheni kujiweka nyuma, kwa kujifanya waungwana ili kutengeneza mazingira ya kutafuta teuzi. Wenzenu...
  13. Cute Wife

    Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

    Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge. Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge...
  14. Cute Wife

    Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

    Wakuu, Luhaga Mpina alipewa adhabu na Bunge Juni 24, 2024 baada ya kwenda kinyume kwa kuwasilisha taarifa yake kwa wananchi mara baada ya kuikabidhi katika Kamaati ya Bunge. Zaidi soma - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15 Usiku huu tukio linarushwa...
  15. Tlaatlaah

    Mchapakazi kijana Waziri Hussein Bashe, historia ya ushupavu Tanzania itamkumbuka

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ataandikwa kwenye kumbukumbu za historia za viongozi shupavu wa nchi hii kwa namna alivyothubutu kuchochea mageuzi na mabadiliko katika kilimo kwa bajeti ndogo tu. Kipindi hiki cha mavuno ya mazao mbalimbali nchini, kinadhihirisha uthubutu, nia na dhamira yake...
  16. toriyama

    Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

    Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe kwa woga. Je, Mpina kamuachia Mungu? Refer issue ya Musiba.
  17. Tlaatlaah

    Unadhani CCM itachukua hatua gani dhidi ya Luhaga Mpina anayetumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15?

    Kwanza, Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa? Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi...
  18. Cute Wife

    Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Spika Tulia anataka kuzuia kilichoibuliwa na Mpina kisijadiliwe na bunge wala wananchi, aache mijadala ifanyike

    Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema; "Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni, sio tu kutoka kwa spika bali hata kutoka kwa wabunge wenzake. Kwa maslahi ya nchi aliona alipeleke...
  19. S

    Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

    Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za...
  20. K

    Napendekeza Waziri Bashe akae pembeni kwanza ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Madudu yaliyoibuliwa na Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu. Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi. Kuendelea kukaa kwenye ile ofisi mimi nitamshangaa sana Mteule wake. PIA SOMA - FULL TEXT: Maelezo ya...
Back
Top Bottom