hussein bashe

Hussein Mohamed Bashe (born 26 August 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Nzega Urban constituency since 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hussein Bashe anastahili pongezi kwa namna anavyochapa kazi katika Wizara ya Kilimo na kutekeleza maelekezo ya Rais Samia

    Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...
  2. saidoo25

    Jumaa Aweso, Hussein Bashe, Innocent Bashungwa nyota zinang'ara

    Hawa ni miongoni mwa Mawaziri wachapakazi na muda wote wanaonekana site kutatua changomoto za zinazowakabili wananchi na kusimamamia miradi inayotekelezwa chini ya Wizara zao. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwa Kigoma alichukua hatua kwa msimamizi wa mradi wa maji ambaye mkataba ulikuwa wa miezi...
  3. Lycaon pictus

    Nakupongeza Hussein Bashe kwa uamuzi wako kuhusu kuuza vyakula nje

    Nimekusikia ukisema kuwa hutafunga mipaka kuzuia chakula kuuzwa nje. Nakupongeza sana kwa hili. Kwa miaka mingi hilo suala limekuwa likimnyonya sana mkulima. Limedhoofisha na kilimo chetu. Uamuzi wako unaweza pandisha bei ya chakula. Unaweza leta lawama, lakini ni uamuzi sahihi. Kilichobaki...
  4. saidoo25

    Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa

    Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa mikopo. 1. Benki Kuu ya Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
  5. J

    Kwanini Waziri Bashe anaogopa Tume kuchunguza kashfa ya mbolea?

    Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima. Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa...
  6. V

    Kwako Waziri Bashe: Je, mpango wa kuwakopesha wakulima fedha za kuendeshea shughuli za kilimo kupitia Mfuko wa Pembejeo upo kama ulivyotuaminisha?

    Salaam aleikum! Nitumie fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Nikiri kwamba Wizara ya Kilimo imekuwa na mawaziri wengi, lakini wewe, umekuwa tofauti kwa uchapakazi wako. Maono na mipango ya Wizara unayosimamia unawagusa wakulima wa ngazi zote hususan wa ngazi ya chini na kati...
  7. Lord denning

    Hussein Bashe, You are smart, you are potential, liangalie zao la Cocoa Tanzania

    Mimi sio mpenzi sana wa siasa za watu ila napenda kukiri kuwa so far, kati ya watu ninaowaona wana akili na wanaweza kushika vizuri kijiti kutoka kwa Mama Samia coming 2030 ni Ndug. Hussein Bashe. Ana vision zisizotofautiana sana na Mama Samia hasa kwenye uwezeshaji, uwekezaji na biashara ivo si...
  8. K

    Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

    Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Hussein Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji. Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana...
  9. J

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo

    Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho ofisini kwake jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalikuwa ni kuimarisha ushirikiano baina ya shirika...
  10. Fred Katulanda

    Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
  11. J

    Waziri Bashe: Tuko kwenye hatua ya mwanzo ya mradi wa kesho imara

    WAZIRI BASHE: TUKO KWENYE HATUA YA MWANZO YA MRADI WA KESHO IMARA. "Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara tutatenga fedha, kima cha chini 5B kwa kuanzia. Kwasababu: Vijana hawaendi shambani na hawana motisha kuingia katika...
  12. Determinantor

    Kukamatwa kwa kiwanda bubu cha mafuta ya mawese mkoani Pwani, nawapongeza Zitto na Bashe kwa hatua walizochukua

    Jana iliibuka story mitandaoni ya Jeshi la Polisi kumkamata Mtanzania Halali akikamua Mafuta bila kuwa na "usajili" yaani vibali, Mafuta ya mawese. Kama kawaida Jeshi letu (ambalo kwa mujibu wa Waziri wake, wengi wao ni failures) hawakumuumiza kichwa Wala kutumia busara, wakaitisha Press na...
  13. Elitwege

    Prof. Adolf Mkenda baada ya kukemewa ameenda wapi?

    Waziri machachari wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kukemewa na Rais Samia Suluhu kwa kitendo chake cha kukataa kutoa kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi kuwa ni nonsense haonekani tena je ameenda wapi? Sasa hivi kila kona anayeonekana ni Naibu Waziri Hussein Bashe tu.
  14. Ibrah

    Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  15. Analogia Malenga

    TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga...
Back
Top Bottom