Ndugu zangu Watanzania,
Nimesikitika sana, kusononeka sana,kushangazwa sana,kuumia sana ,kutoamini macho na masikio yangu kwa kile nilichokiona na kusikia maneno na kauli za waziri wa kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe. Maneno ya Mheshimiwa Waziri yakisema kuwa serikali haitapeleka huduma za...