hussein bashe

Hussein Mohamed Bashe (born 26 August 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Nzega Urban constituency since 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  2. H

    Kwa anayekijua kilimo cha kitaalam, Bashe yuko sahihi

    Kama hekta moja ni 16mil na points kadhaa hivi ,budget hiyo iko sahihi na wamejitahidi Sana kuibana . Mfano tu; kwa kilimo cha kitaalam cha green house ,green house ya robo ekari yaani ukubwa wa mita 35 kwa 35, budget yake ni mil 4 hiv na vichenji, Nina jamaa zangu kadhaa walianzisha kilimo hiki...
  3. Bashe anapaswa kujibu hili, amefeli kwenye kilimo. Hili la mbolea limeumbua, angalia idadi

    Kuna nguvu ilitumika sana kwenye suala la mbolea mwaka jana, nyimbo zilitungwa na sifa ziliimbwa kwa waziri bashe kuhusu mbolea ya ruzuku. Bashe akasema anataka kumuinua mkulima ndio maana anasaidia wakulima wote wapate mbolea ya ruzuku. Hafla ya mbolea ya ruzuku kwa wakulima ilifanyika mbeya...
  4. Mabadiliko kutoka Building Better Tomorrow - BBT mpaka kuwa Building Bashe Tomorrow - BBT

    Mabadiliko kutoka π˜½π™π™„π™‡π˜Ώπ™„π™‰π™‚ π˜½π™€π™π™π™€π™ π™π™Šπ™ˆπ™Šπ™π™π™Šπ™’ - π˜½π˜½π™ mpaka kuwa π˜½π™π™„π™‡π˜Ώπ™„π™‰π™‚ π˜½π˜Όπ™Žπ™ƒπ™€ π™π™Šπ™ˆπ™Šπ™π™π™Šπ™’- π˜½π˜½π™. TUMEPIGWA BILIONI 13. Kwa mujibu wa wizara ya Kilimo chini ya waziri @HusseinBashe ni kwamba serikali inatumia milion 16.4 kufadhili shamba la hekta moja kwenye mradi wa Building a Better Tomorrow kwa...
  5. Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

    "Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini. Chanzo: Jambo TV === Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
  6. K

    Hussein Bashe: Kati ya Ajira 10 ajira 7 ni za sekta ya Kilimo

    Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65 za ajira kwa vijana ambayo ni takribani sawa na watu saba kwenye kila watu kumi wanaoajiriwa...
  7. Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo... Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama...
  8. Waziri Bashe, lijulishe Taifa mchakato uliotumika kuwapata vijana 812 wanaokwenda kwenye mafunzo ya kilimo yatakayozinduliwa na Rais Samia

    Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi? Msingi wa swali langu ni huu, Taifa...
  9. J

    Sasa huyu Bashe kamsaidia mkulima au kamuangamiza? Huu mchele wa Ruzuku unaweza kuuzwa 1,500/- kwa kilo

    Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea Bashe ajipime kama anatosha!
  10. G

    Hongera Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kwa kutetea soko la wakulima, wanaokupinga ni wanafiki

    Wakuu nampongeza mh Bashe waziri wa kilimo kwa mengi aliyoyafanya kilimo, isipokuwa Kwa Leo nampongeza kwa msimamo wake wa kutetea wakulima juu kuuza mazao Yao waliyolima kwa gharama zao kuuza kwenye soko lolote Le ye tija kwao ndani na nje ya nchi. Wakuu, lazima tutambue kwamba kwa sasa kilimo...
  11. Waziri Bashe aache kuingilia majukumu ya wizara nyingine

    Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya VIJANA, AJIRA ,KAZI na WATU WENYE ULEMAVU. Hii unayofanya kwenye BBT ni Skills development na Capital...
  12. Waziri Hussein Bashe futa kauli yako kuhusu Roho Mtakatifu

    Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo tumeendelea kulilea. Nilikuwa naangalia clip moja ya hivi karibuni ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  13. Waziri Bashe atangaza bei mpya ya Chai

    Waziri wa Kilimo, Husein Bashe ametangaza bei mpya ya chai ambayo ni Sh366 kwa kilo itakayoanza kutumika kwenye mnada wa kwanza utakaofanyika Februari 10, 2023. Kwa zaidi ya miaka mitano, bei ya zao hilo haijawahi kupanda kutoka Sh314 jambo lililokuwa linawadidimiza wakulima. Pamoja na bei...
  14. Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

    Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa. Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima...
  15. Hussein Bashe: Matatizo ya Wakulima hayaondolewi kwa vitisho

    Waziri wa Kilimo muda huu akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara mkoani Manyara amesema kuwa Wakulima matatizo yao hayaondolewi kwa kuleta vitisho bali kwa uwezo wa kushirikiana nchi yetu itapiga hatua katika maendeleo ya kilimo kwa kuwa kilimo ni Biashara. Bashe amesema kuwa hela...
  16. Hussein Bashe ni janga kubwa kwa taifa letu. Hatufai leo, hatufai kesho na hatufai kesho kutwa!

    Hussein Bashe waziri wa kilimo amekuwa muongo kupindukia. tukianzia nzega hapa hapa jimboni kwake hakuna chakura na hali ni mbaya sana. Ukiingia mitaani kuna familia hata mlo mmoja ni shida! Katika biblia kuna hadithi ya yusufu aliemshauri mfalme farao ahifadhi chakura kwa kuwa kuna dalili...
  17. Ni vigezo vipi vilimpa Hussein Bashe Uwaziri wa Kilimo?

    Mpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa. Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu Wakulima ndio wabao lia njaaa, na wenye mahindi ni Madalali. Sehemu kama Arusha gunia ni sh 150...
  18. Waziri Bashe punguza kelele za mitandaoni, bei ya mchele kilo moja imefika Shilingi 3,000

    Hawa mawaziri wetu wamekuwa kama yule mpuliza filimbi wa Hamelin I kelele nyingi sana; wanashindana na MITANDAO leo nimeona kwenye tangazo moja mchele supaa kabisa kilo 1500 kutoka mikoani , akini kwa madukani na rejareja hapa Dsm Mchele unaofaa kula Sasa hivi ni 2800 na 3000. Kwaninj tumefikia...
  19. M

    Kwanini Mwigulu peke yake?

    Tangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana kusababisha matatizo makubwa kwa wananchi. Kwanini iwe Mwigulu Nchemba peke yake, Je ni kweli katika...
  20. N

    Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…