Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Hussein Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji.
Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana...