Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hoja ya kuongeza muda wa Urais kwa Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoka Miaka Mitano hadi Saba, haipo.
Akihojiwa na Clouds FM, Makalla amesema “Hilo jambo halipo, halijafika...