Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a CCM nominee for presidency in Zanzibar October 2020. He is the current Minister of Defence and National Service.
Leo Dkt. Hussin Mwinyi anaendelea na kampeni ya kuwania Urais Zanzibar eneo la Micheweni kuiongoza serikali ya awamu ya nane na miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia, amesisitiza kulinda amani ya Zanzibar. Mwinyi amesema sasa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyotokana na kauli za watu...
Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo anastahili kupewa nchi kupitia sanduku la kura hapo Oktoba 28, Wanazanzibari kwa umoja wenu...
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
Jamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana.....
1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine
2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na Kusikiliza Shida zao zote tena muda mwingine akiwa ameketi Sakafuni kabisa
3. Kula Chakula pamoja na...
HOJA ZA DK HUSSEIN MWINYI ZINATOSHA KUMPA NCHI OKTOBA, 28
Dkt. Hussein Mwinyi mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar anastahili kuchaguliwa kwa kura za ndio nyingi na kupewa nchi ili awaongoze Wazanzibar, nimefatilia mikutano yake ya kampeni na kubaini kuwa ni miongoni mwa wagombea bora wenye...
DK. HUSSEIN MWINYI NI MANDELA MPYA WA VISIWA VYA ZANZIBAR
Deogratias Mutungi
Siasa imara ni zao la ustawi wa amani na maendeleo ya watu, Siasa ni chemichemi na kiungo cha utaifa wa mtu na mtu, Siasa mbovu ni chanzo cha matatizo na mifarakano inayo hatarisha utu na uhai wa binadamu aidha bila...
Kwa maoni mujarabu kabisa ni bora Nd. Hussein Mwinyi akawaachia ugombezi wa Uraisi wa Zanzibar kwa maana ya kujitoa hii itakuwa fahari yake milele kwani kufanya hivyo ni kuiepusha Zanzibar na shari na dhiki zinazoinyemelea.
Kama Muislamu Mkereketwa hakuna haja ya kuzozana heshima atakayoipata...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hussein Mwinyi anagombea kwa tiketi ya CCM na amesema watafanya kampeni za kisayansi na ustaarabu
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Hongera sana kwa kuutangazia Umma wa Tanzania kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi, ni sawa kwa kuanza kuwatahadharisha wanaopanga kukuharibia pepo yako, ama hapo umetoa kauli nzuri ambayo Inshaallah isiwe na shaka ndani yake.
Huku ni kujipambanua na mbinu zilizokuwa zinatumika kuwaweka...
Wakati wa misa ya mazishi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa mtangazaji alikuwa akimtaja mgombea urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar, Hussein Mwinyi kuwa Rais Mteule wa Zanzibar. Hivi ukishateuliwa na CCM tayari unakuwa Rais?
Kura za wananchi hazina maana? CCM kumbe hii nchi...
Naam, ni wakati mwengine tunakupatia taarifa.
Jana tarehe 15 Julai, 2020 kulikuwa na mapokezi ya Mteule wa urais wa CCM Zanzibar dkt Hussein Mwinyi.
Ziara ilifana na iliandaliwa vya kutosha. Tutatoa tathmini fupi kutokana na taarifa zetu.
Shabaha na kupima upepo.
Ziara si tu kwamba ilenga...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa.
Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka...
Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar...
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza.
Zipo tetesi kuwa ukimya wa Hussein Mwinyi, unavuka mipaka ya kawaida. Hata kwenye vikao vya Baraza la...
Alikuwa mbunge Bara na Zanzibar. Anakujuwa kote anapendwa kote, Muungano utake nini tena.
Kusema kweli huu ndio muda mzuri wa kuimarisha na pengine kuukamilisha Muungano wetu.
Faida za muungano ziko wazi, huu Ndio ule muda mwafaka wa kufikiria na kutekeleza muungano wa serikali moja badala ya...
Mabaki ya mabomu 2 yalipuka na kuua watoto wawili walio kuwa wakicheza kwenye migomba na kuwaacha 4 wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
More news stay tuned.
Watoto hawa wamenusurika kupata mauti wakiwa na mama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.