huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Raia mpya

    Wanawake huwa mnatusemaje?

    Habari wa ndugu leo nataka niulize nijue kwa sisi wanaume ikitokea mmeachana na demu ile kujipa moyo tunasema "Muhimu nimepiga" 😁 Sasa kwa nyinyi wanawake huwa mnasemaje 😁
  2. Chief Kumbyambya

    Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  3. ndege JOHN

    Ngano isiyosindikwa huwa wanatengeneza nini?

    Nikipita sokoni naiona inauzwa najuaga labda matumizi yake ni kutengeneza tu unga wa lishe. Gunia lake linauzwa 200000-350000. Sijawahi kuona nyumbani kwetu wameinunua ngano hiyo.
  4. GENTAMYCINE

    Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia?

    Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
  5. Tlaatlaah

    Ni kitu gani huwa kina mchochea mtu kutukana na kuporomosha matusi

    Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho...
  6. Nyanda Banka

    Kama huwa anakusaliti sema hivi kwa kingereza

    KAMA HUWA ANAKUSALITI, SEMA "HE/SHE CHEATS ON ME". Tunapozungumzia suala la usaliti katika mapenzi, yaani fulani anakusaliti, huwa tunatumia preposition "on". Ambao wamesoma nasi kwenye mada ya "Preposition collocations" wanaelewa nazungumzia nini. Usitumie "cheat" peke yake bila preposition...
  7. GENTAMYCINE

    Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

    Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
  8. GENTAMYCINE

    Vijana wa Kiume tuacheni Ubaguzi pale Wazazi wetu wakiwa Wazee kwa kuamua Kumjali zaidi Mama na Baba zetu huwa tunawajali kwa 'Kubeti' tu

    Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua...
  9. DR HAYA LAND

    Dunia huwa haiendeshwi na ukweli

    Maisha ya hapa duniani huwa hayaendeshwi na ukweli uliowekwa na binadamu. MTU anayekupa NO na kukuambia haufai MTU huyo huyo kesho anakupa YES na kukuambia unafaa. Hivyo unapoishi hapa duniani usifatishe kile watu wanachoamini Ila fatisha unachoamini wewe. Hivyo ukiambiwa hauwezi, ukiambiwa...
  10. Nyani Ngabu

    Pre GE2025 Hata Tundu Lissu naye huwa anadanganya!

    Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko kwa wanaohongeka. Lissu naye ni kama wanasiasa wengine tu. Na yeye hudanganya pia. Kwenye haya...
  11. D

    Kwanini watu wa Kigoma pekee wanaulizwa sana utaifa wao kuliko mikoa mingine ya mipakani?

    Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara...
  12. E

    Hivi Godbess Lema huwa anakuwa na ushahidi wa anachozungumza au kuandika?

    Mambo mengine ni serious sana, mfano haya mambo mbona kama ni makubwa na baadhi inaonekana hayana ukweli?
  13. Pascal Mayalla

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika? Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...
  14. Pekejeng

    Serikali huwa inakuwa wapi kutoa ufafanuzi mapema?

    Kwa mtazamo wangu haya mambo yakuleta ufafanuzi baada ya kuibuka mijadala ambayo serikali inaona ni upotoshaji, Huwa inaleta sana ukakasi na sitomfahamu nyingi kwa wananchi kwanini wasiwe na utaratibu wakutupa taarifa yakila mikataba/mikopo mapema na kwa uwazi zaidi. Isiwe inakaa kimya mpaka...
  15. Petro E. Mselewa

    Kuuliza si ujinga: Tunapokopa kama Taifa, dhamana yetu huwa ni nini?

    Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo huandaliwa na Mkopeshaji kwa ajili ya kulinda maslahi yake-urejeshwaji wa mkopo pamoja na faida...
  16. KING MIDAS

    Amini usiamini, 90% ya wanawake walio kwenye mahusiano, Wana kajaa Fulani ambalo Huwa kanagonga kimasihara

    Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
  17. G

    Watu wengi wanaoomba ushauri wa biashara wakipata mtaji huwa wanafeli kwasababu hawana ujuzi wala connection.

    Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
  18. LIKUD

    Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

    Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara. Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani? Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
  19. ramadhani yusufu onyesha

    Kupandishwa cheo jeshini huwa wanazingatia nini?

    Naomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
  20. Ncha Kali

    Kwa mnaosifia Kahama huwa mnazingatia nini?

    Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii? Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu. Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji. Watu bado wanalima na kufuga ndani ya makazi, Manispaa gani hii?
Back
Top Bottom