huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

    Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu. Jitafakari. Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

    Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”. Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa kikosi hiki. Ukija katika maisha ya kawaida, hautakiwi kukata tamaa, pambana sana na usifikirie...
  3. peno hasegawa

    Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
  4. GENTAMYCINE

    Kuna muda huwa siwaelewi na nabaki tu kuwashangaa Waswahili Watanzania

    Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda. Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za...
  5. Konseli Mkuu Andrew

    Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  6. The Sheriff

    Je, huwa unasikiliza sera za wagombea na vyama usivyoviunga mkono?

    Inaeleweka kuwa kuna baadhi ya wafuasi wa vyama au wagombea fulani hawana utayari wa kusikiliza wagombea au sera za vyama wasioviunga mkono. Hii ni kwakuwa, kwa namna fulani, ‘wamefunga ndoa’ na sera zile wanazozijua tu na hawajawaza umuhimu wa kufungua akili na kuruhusu mitazamo mipya kutoka...
  7. Mto Songwe

    Vyama aina ya CCM huwa havitoki madarakani kwa sanduku la kura

    Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura. Hivi vyama vya namna hii vina mtindo wake wa kutolewa madarakani.
  8. M

    Waropokaji wakisimuliwa habari huwa haawataki kujiridhisha kuwa ni kweli au la

    WAROPOKAJI HUWA HAWAJUI CHOCHOTE BALI MIHEMKO TU Hutakiwi kuumizwa na habari za waropokaji na tena ukiweza usipoteze nguvu zako kujibizana nao maana wengi wao huwa wanaongozwa na mihemko tu Waropokaji hata ukiwakuta kwenye vikao mara nyingi huwa wanataka tu wajulikane kwa kuongea chochote...
  9. Teslarati

    Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

    Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza. Overall experience...
  10. Idugunde

    Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

    Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi. Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro-Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa. Why? Mnataka nini?
  11. D

    Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

    CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa. Ona anavyoua wapinzani wake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua. Anataka kufia madarakani...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa. Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya, Juan Roman Riquelme Kevin Prince Boateng George Magere Masatu Jina gani huwa linakuvutia?
  13. Expensive life

    Neno gani la kwanza huwa unamwambia mwenza wako baada ya kumaliza faragha?

    Baada ya minyanduano ya hapa na pale, neno gani la shukurani huwa unamwambia mwenza wako?
  14. Mjanja M1

    Video: Wamama wa Kiafrika huwa hawapendi mzaha mzaha!

  15. S

    Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
  16. Rayvanny wa jamiiForums

    Mikopo inayoendelea kuombwa kwa kasi na Serikali hivi huwa inaenda kweli kwenye sehemu husika au inaisha tu juu juu?

    Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
  17. Z

    Pre GE2025 Hivi maendeleo huwa yanaletwa na Chama /Serikali?

    Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu ambao watawaongoza wananchi kupata maendeleo yao na kwa kusimamia kikamilifu rasilimali za nchi...
  18. GENTAMYCINE

    Kwanini Wanawake Wanaochiti Ndoa zao huwa ni Intelligent na Sweet kuliko wale Wasiochiti kabisa katika Ndoa zao ambao huwa kama Wamewehuka hivi?

    Mtafiti wa Kujitegemea GENTAMYCINE nimelichunguza na kulibaini hili je,.na Wewe umeshajiuliza hili?
  19. DR HAYA LAND

    Watu ambao hufanya ukatili wa kuua, kutesa na kudhulumu, wao huwa hawapendi wafanyiwe hayo mambo

    Hili jambo huwa linasababishwa na MTU kukosa vitu viwili @ Sympathetic @ Empathetic MTU akikosa huruma ataiba ,atadhurumu n.k Na MTU akikosa kuhisi hisia za MTU mwingine na Ku-feel Kama anavyo-feel au kuvaa viatu cya mwingine basi ataua, atatesa na kuangamiza. Hivyo majambazi , wote ...
  20. Rayvanny wa jamiiForums

    Hivi huwa mnaoana kweli humu mbona hatupeani mialiko ya harusi?

    Naamini kuna watu humu huwa wanaoana kimya kimya alafu ni member wenzetu tu, hapa na tupo nao kwa miaka mingi lakini mbona hatupeani mialiko ya harusi? Au wana jamiiforums huwa amuowagi au kuolewa
Back
Top Bottom