Inaeleweka kuwa kuna baadhi ya wafuasi wa vyama au wagombea fulani hawana utayari wa kusikiliza wagombea au sera za vyama wasioviunga mkono. Hii ni kwakuwa, kwa namna fulani, ‘wamefunga ndoa’ na sera zile wanazozijua tu na hawajawaza umuhimu wa kufungua akili na kuruhusu mitazamo mipya kutoka...