GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt...
Hii mada haihusiani kabisa na huyo mamba wenu mkubwa.
Mimi nataka kujua tu hawa mamba maelfu kwa maelfu huwa wanamnufaisha nani?
Je, huwa wanaliwa?
Ila wao kila mwaka wanajeruhi watu kibao. Kwa nini isiwepo operation ya kuwaua?
Kuna maoni mseto katika kila kigezo.
Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali.
Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa.
Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile.
Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
Mshamba ni nani?
Jibu : Mshamba ni mshamba.
Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?
Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇
1. Akiwa anatumia True Caller.
Unapiga simu kwa Mwnyekiti...
Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo.
Nataka pia...
Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?
Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.
Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi...
Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa...
Naaam,
Msiba ukitokea katika jamii za watu wa Mugumu, basi hapo msibani watu watakula chakula kisichokuwa na chumvi mpaka siku marehemu atakapohifadhiwa ndio tutarudi kwenye utaratibu wa kawaida.
Labda ikitokea mwili ukakaa mochwari miezi miwili, basi tutakula chakula miezi yote miwili bila...
Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine.
Ila cha kushangaza na...
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist
Waliozaliwa kati ya
1. Januari 20 mpaka February 18
2. May 21 mpaka juni 20
3. August 23 mpaka September 22
4. December 22 mpaka January 19
Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)
Kama wewe ni...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga...
CCM naona huwa wanatoa matamko tu ili jambo lipite. Waanajua watz ni watu wasahaulifu sana na hawafuatilii mambo. Mfano.
1. Tume za waziri mkuu kubusu kuungua masoko.
2. Tume za waziri mkuu uoigaji wa pesa za umma.
3. Madini ya ruby Dubai.
4. Nyara za serikali nchini Australia kutoka...
Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?
Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.