huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Police mnapo sema I am Not your friend My friend Huwa mnamaanidha Nini?

    Nikweli Mimi siyo mzungu lakini pamoja na kuwa lugha ya malikia sio yetu ni sawa. Sasa inakuwaje police mnapokuwa una deal na mtu Huwa mnapenda sana kutumia hili neno "I'm not your friend My friend " Tena mkiwa na ujasiri kabisa hata ukiwa mbele ya mkuu wako wa kituo. Tuambieni labda ni...
  2. kalisheshe

    Kati ya Mwingereza na Mmarekani Ni yupi huwa unamuelewa kwa urahisi akiwa anaongea kingereza?.

    Huwa napata ugumu kidogo nikiwa namsikiliza Mmarekani ila namuelewa kwa urahisi zaidi mwingereza. Wataalam wa kingereza karibuni.
  3. X

    Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  4. ngara23

    Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

    Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi. Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida Miundo mbinu mibovu, Tanzania...
  5. Allen Kilewella

    Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
  6. Goofy_

    Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

    Habari.. Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana. Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja...
  7. Q

    Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

    2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56. 2024: Sio tetesi tena Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega...
  8. sergio 5

    Kila mwaka ukiisha huwa unajiona ulikuwa mjinga kiasi gani?

    Hebu wakuu njooni mtuambie apa Mwaka UKIISHA ukipiga hesabu za matendo yako Huwa UNAJIONA ulivyokuwa mjinga mwaka ulioisha?
  9. Yoda

    Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  10. sergio 5

    Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  11. Nyafwili

    Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  12. Mshana Jr

    Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana

    Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho.. Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema.. Fulani bwana pesa imemkubali.. Ama Fulani bwana pesa imemkataa! Licha ya pesa kuitana na kualikana...
  13. Shanily

    Kumbe Kuna ndoto Huwa ni za kweli

    Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!. Niliotaga utopolo amepata vipigo vitatu mfululu 😂 na ikawa kweli , hata hii ya 2 - 0 ilikuwemo. Nipo naskilizia ya Algeria kwa udi na...
  14. Z

    Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

    Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa. Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado...
  15. ngara23

    Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  16. Mindyou

    Kwanini hoteli kubwa zenye hadhi ya 5 stars huwa na bendera za mataifa mbalimbali kwa nje? Siri iko hapa!

    Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
  17. Kyambamasimbi

    Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

    Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
  18. C

    Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

    Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
  19. Allen Kilewella

    Kuwa Pro Russia au Pro US, kigezo huwa nini?

    Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani. Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa upande wa Marekani au wa Russia. Huwa mnazingatia mambo gani hasa?
  20. Natafuta Ajira

    Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

    Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande...
Back
Top Bottom