Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!.
Niliotaga utopolo amepata vipigo vitatu mfululu 😂 na ikawa kweli , hata hii ya 2 - 0 ilikuwemo.
Nipo naskilizia ya Algeria kwa udi na...