huzuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

    Ndugu wasomaji, ni nini tunajifunza katika hali hii iliyoko Afghanistan? Siku zote sijawahi kuwa na imani na unafiki wa watu wanaosema wanatetea dini lakini wakitoa watu kuwa sadaka kwa miungu. Wanalazimishsa kutawala kwa jina lolote lakini si kwa ajli ya watawaliwa. Hivi utawala wa mabavu...
  2. M

    Huzuni: Sitatumia tena huduma ya fedha kwenye simu

    Kama haya makato ya kwenye account za simu hayatarekebishwa mwanainchi atakuwa na hali mbaya. Jana nilitoa tsh.9000/ badala ya kukatwa tsh.9oo/ walikata 205o Yaani sutatumia tena hii HUDUMA mpaka walekebishe huo uharamia
  3. Unyayo

    Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

    Thread closed!
  4. Ben Zen Tarot

    Fahamu mambo haya

    1) Ukikaaa kwa dakika 15 bila kutikisika lazima ulale.. 2) Mara nyingi mtu anapolia hukumbuka matukio ya nyuma ndio yanamuongezea kilio. 3) Kwa sekunde 3 baada ya kuamka kutoka usingizini binadamu huwa hakumbuki jambo lolote. 4) Watu wenye aibu ndio watu wenye akili zaidi na waaminifu...
  5. ktroshaban

    Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

    Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza. Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena...
  6. JamiiForums

    Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka kupata msongo wa mawazo. 1. Usiweke Malengo ambayo Hayafikiki Kila mtu ana...
  7. Nyani Mzee Snr

    Hawaamini macho yao

  8. M

    Je, ulipo Wewe sasa Watu Wanalia na kuwa na Nyuso za Huzuni au Hawajali kama nilipo Mimi hapa nchini Herzegovina?

    Mimi hapa nilipo nchini Herzegovina ( yalipo Makazi yangu ya Kudumu ) kiukweli Ninalia mno ila nashangaa Mtaa wa Pili kuna Mijitu naiona ndiyo Kwanza tu inaagiza Supu na Chapati, Mwingine anaagiza Bia ya 19 huku akicheka zake tu na lingine linapanga Kete za Kucheza Pool Table. Je, nawe huko...
  9. P

    Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

    This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT...
  10. Webabu

    Uchaguzi 2020 Wasanii wameharibu sana kampeni za CCM, Wiki ya mwisho kuelekea uchaguzi inatia huzuni

    Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya CCM kwa nyimbo za John Komba vimebadilika sana. Nimehudhuria mikutano kadhaa ya kampeni ya vyama...
  11. R

    Siku ya leo muda huu Utopolo wangekuwa na huzuni

    Ni kama mechi isingeairishwa muda huu utopolo wangekuwa kimya wamechanganyikiwa na kipigo ambacho wangepata hakuna cha calinyo wala mwamnyeto wangekuja kuibuka baada ya wiki mbili na sababu kibao ila tunawasubiri November 7
  12. Naanto Mushi

    Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

    Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria. Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote. Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa...
  13. Roving Journalist

    Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  14. Pascal Mayalla

    Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

    Wanabodi, "Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' " Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!. Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu...
  15. Mlenge

    Huzuni ya Kufiwa Huja Kama Mawimbi

    Kifo hakizoeleki. Kila mmoja anayo namna yake ya kuonyesha huzuni yake baada ya kufiwa; kwa mfano, wengine hulia kwa kupiga kelele, japo wengine hukaa kimya. Huzuni ni kitu kisichoonekana kwa macho, na mara nyingi huwaweka wahuzunikao kwenye hatari ya kupata sononi na madhara mengine ya...
Back
Top Bottom