hydraulic

  1. Nkuruvi

    Je kubadili Power Stearing ya Umeme kuwa ya Hydraulic kwenye gari ni salama?

    Wadau, Subaru Forester Non Turbo ina Electric Power Stearing imekuwa ikitoa mlio kama inagonga tairi la kushoto mbele. Fundi ameicheki, ananiambia tatizo ni Power Stearing, nan kwakuwa ni ya umeme huwa zinasumbua kwa namna hiyo. Amenishauri niibadioishe kutoka kuwa Power Stearing ya Umemeiweya...
  2. K

    Tunatengeneza na kuuza Hydraulic Seals

    Habari wanajukwaa! Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa TESE sasa inatengeneza Haidroliki Seals zenye ubora wa kimataifa hapa hapa Tanzania kwa ajili ya mitambo na mashine zako Kwa nini uchague hydraulic seals za TESE? 🔹 Ubora wa Kimataifa: Seal zetu zinakidhi viwango vya kimataifa na...
Back
Top Bottom