Ni muda mrefu sasa tangu upangaji wa madaraja ya wakandarasi ulipofanyika ikiwa na pamoja ya thamani ya kazi kwa kila daraja hivyo ni vema CRB ikapitia upya upangaji wa madaraja na thamani ya kazi zao ikichukuliwa kuwa bei ya vifaa vya ujenzi zimepanda na mafuta.
Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa...
habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali.
Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa...
Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana.
Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama.
Hii ni ligi nzuri napenda kuiangalia kwenye Vitasa plus, lakini nimeshangazwa hakuna Watu wa huduma ya kwanza uwanjani, maana...
Kwa ajili ya kufufua shirika letu la posta
Napendekeza kuwe na mfumo rahisi na unaoeleweka wa ukokotoaji wa gharama za kupitisha parcel ndogo ndogo mf:
Mtu akiagiza simu moja kwa ajili ya matumizi alipie gharama za posta na 18% VAT kusiwe na gharama nyingine
Kwa sasa unaweza...
Husika na kichwa cha mada hapo juu
Serikali yangu pendwa ya Tanzania na wahusika wa hili mimi kama mwananchi na mkulima wa nchi hii
Tunaomba muangalie vizuri kwenye suala hili la mbolea kiukweli mbolea ipo juu sana na sio rafiki kwa mkulima huyu wa chini
Na ukizingatia mazao yenyewe soko lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.