iangalie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    CRB iangalie upya upangaji wa madaraja ya Wakandarasi na thamani ya kila daraja

    Ni muda mrefu sasa tangu upangaji wa madaraja ya wakandarasi ulipofanyika ikiwa na pamoja ya thamani ya kazi kwa kila daraja hivyo ni vema CRB ikapitia upya upangaji wa madaraja na thamani ya kazi zao ikichukuliwa kuwa bei ya vifaa vya ujenzi zimepanda na mafuta.
  2. K

    Serikali iangalie utaratibu mzuri jinsi ya kuwafidia Wakandarasi

    Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa...
  3. B

    Serikali iangalie matumizi ya IST, Subaru,Altezza, Vitz na usafiri unaofana na hivyo vitu. Kuna Majanga mengi

    habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
  4. Tumetoka mbali. Iangalie Tanzania ya mwaka1999

    Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali. Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa...
  5. Serikali iangalie upya suala la usajili wa meli za kigeni baada ya kusitishwa mwaka 2018

    Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
  6. Serikali iangalie kuhusu kufukuza wamachinga walemavu

    Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana. Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
  7. Serikali iangalie michezo ya kickboxing, anaweza kufa mtu uwanjani

    Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama. Hii ni ligi nzuri napenda kuiangalia kwenye Vitasa plus, lakini nimeshangazwa hakuna Watu wa huduma ya kwanza uwanjani, maana...
  8. TRA iangalie gharama za kupitisha Parcel Posta, zinaua Shirika

    Kwa ajili ya kufufua shirika letu la posta Napendekeza kuwe na mfumo rahisi na unaoeleweka wa ukokotoaji wa gharama za kupitisha parcel ndogo ndogo mf: Mtu akiagiza simu moja kwa ajili ya matumizi alipie gharama za posta na 18% VAT kusiwe na gharama nyingine Kwa sasa unaweza...
  9. Ombi: Serikali iangalie vizuri bei za mbolea zilizoongezeka hivi karibuni

    Husika na kichwa cha mada hapo juu Serikali yangu pendwa ya Tanzania na wahusika wa hili mimi kama mwananchi na mkulima wa nchi hii Tunaomba muangalie vizuri kwenye suala hili la mbolea kiukweli mbolea ipo juu sana na sio rafiki kwa mkulima huyu wa chini Na ukizingatia mazao yenyewe soko lake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…