Baadhi ya nyumba za ibada huhusishwa na kero ya kelele kwa majirani. Huu hapa ni ufumbuzi:
1. Kila jengo la ibada lenye vipaza sauti vifunguliwe kwa manufaa ya walio ndani ya majengo tu.
2. Majengo ya ibada wanaweza kusababisha kelele wapendavyo, lakini watumie udhibiti wa kelele zisifike nje...