Ibadah (Arabic: عبادة, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu
Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku
Vibaka walijazana sana sana wakaripoti husika, dk anaenda sawa 6pm kwenu
Kuna kanisa Temboni Mh. Makalla, watu...
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema
“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
Maelfu ya mahujaji waliochomwa chanjo ya COVID-19 wamekusanyika mji mtakatifu wa Mecca kwa ibada ya Arafa, huku Wakizingatia umbali wa mtu na mtu na kuvalia barakoa wakati virusi vya corona vikiiathiri kwa mwaka wa pili mfululizo ibada ya Hijja.
Ibada hiyo iliyokuwa inawaleta pamoja mahujaji...
Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji.
Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
Ibada inaendelea mda huu wageni toka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria, kwa hapa Tanzania inaonyeshwa kupitia wrm TV ya Chief suguye ambayo inapatikana kwenye kisambuzi cha startimes, tuendelea kufatilia ibada hii ya kusherekea maisha yake.
Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza ibada hiyo kutokana na gonjwa huo ulioanza kutikisa mwishoni mwa mwaka 2019.
Akizungumza na...
Habari za majukumu JF members wote.
Mungu ni mwema na hatimaye yamebaki Masaa tu kama sio dakika tuimalize Ramadhan ambayo imechukuwa Siku takribani 30.
Ni furaha ilioje kwa Waislam wote na wasio Waislam kesho kusheherekea sikukuu ya Eid baada ya kumaliza Mfungo salama salimini.
For now nipo...
Kama una laki moja yako usiipeleke msikitini/kanisani kwanza fikiria mama yako hana shida binafsi ambazo anaweza kutatua kwa pesa hiyo?
Baba je?
Ndugu wengine wa karibu?
Kuna watu wazazi wao wanahangaika kutafuta ugali wa siku mtu ile package ya kula wiki hana lakini mtu huyu anachukua pesa...
Tulipopiga kelele kuhusu hili suala tulionekana ni mazuzu, viongozi wa Bakwata walikuwa busy kumsifu na kumtukuza mfalme huku wakisema hili jambo ni story za kitaa. Muda ni mwalimu mzuri, haya wote tuongee lugha moja sasa.
========
Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo...
Kwanza kabisa niwaombe msiwe waongeaji sana hii itaanza kushusha heshima yenu maana kupitia kuongea sana ndipo watu hupima busara zenu na kila neno litokalo vinywani mwenu hubebwa kama hoja na yaweza zua mjadala kama sio kuchora picha halisi ya mwenendo wa serikali hivyo vinywa vyenu mjitahidi...
Viongozi wa dini hasa dini za Kikristo mnaombwa kuwakumbusha viongozi wa kisiasa kuheshimu Mimbari wakati wa ibada.
Mimbari ni sehemu ambayo Walawi wanaruhusiwa kufanya Ibada na matamko yao kama walivyoamrishwa na Mwenyezi Mungu.
Waislamu wenyewe hili lipo wazi Masheikh ndio huruhusiwa...
Waumini wa Rastafarian wamemfanyia ibada Rais Magufuli aliyefariki Machi 17, 20201 kwa matatizo ya moyo katika Hospitali ya Mzena.
Waumini hao wamesema wanamchukulia Magufuli kama Nabii wao kwa kuwa hata namna yake ya kiutawala ni namna ya kiafrika ya kutawala ya kutanguliza utu na maslahi ya...
Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara.
Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo.
Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
Nilifuatilia kwa karibu shughuli za mazishi ya maalim Seif kuanzia msikitini pale Upanga hadi mazishi kule Mtambwe Pemba kupitia luninga ya Channel ten.
Kitu kikubwa nilichojifunza waislamu kwenye mazishi wanamjali zaidi marehemu kuliko wao wanaobaki.
Kwa mfano pale msikitini Upanga swala...
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku...
Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.