ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Teko Modise

    Maulid Kitenge na Ushamba wa Pods zake katika ibada ya Umra

    Ndugu zetu waislam, huyu jamaa sasa mshaurini akiwa katika ibada apunguze kukengeuka na ushamba wake usiomuisha. Kwenye inada ya Umra huko Mecca ameonekana akiwa airpods zake. Huu sasa ni ushamba mzee wetu Kitenge.
  2. O

    Wizi nyumba za ibada tishio

    Matukio ya uhalifu katika nyumba za ibada yamewaibua viongozi wa dini na wanasaikolojia, huku lawama zikielekezwa kwa viongozi hao. Kwa mujibu wa wanasaikolojia, mahubiri yao yamejikita katika masuala ya ndoa, kazi na utajiri badala ya tabia njema. Licha ya utitiri wa nyumba za ibada...
  3. Hemedy Jr Junior

    Ibada ni muhimu sana

    Karibu sana kwenye sala ya kushukhuru maana ni kwa neema. Type Amen kama umeamka salama Mshukhuru Mungu wako. Maana kuna watu washapotea kwenye USO wa Dunia ila wewe umebaki so ni jambo la kushukhuru.
  4. K

    Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

    Sikuhizi makanisa yamegeuza muelekeo, hakuna tena maendeleo ya kiroho bali maendeleo ya Parkia, Usharika au kanisa na mahekalu. Mahubiri yamejikita katika michango ya mara ujenzi, ununuzi wa vifaa, kumchangia kiongozi, michango ya lazima kila siku. Nauliza zile sadaka za ujenzi, fungu la kumi...
  5. luangalila

    NEMC mtusaidie sauti za mitetemo toka club za starehe zina kera sana

    Hili swala limekaa vipi kisheria Unakuta clubs zimejazana katika maeneo ya makazi ya watu na zimekuwa zikipiga miziki mikubwa inayotoa sauti za mitetemo ambazo huathiri faragha ya mtu anakuwa nyumban kwake. Hili swala serikali ilitazame kwa umakini maana hizi clubs siku hizi ni kifuru sana...
  6. M

    Mtume Wenu Mwamposa afanya 'Promotion' ya Hotel yake ya Mkoani Mbeya katikati ya Ibada Tanganyika Packers Kawe leo

    "Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa. *Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi...
  7. R

    Hawa wanawake wanaokwenda kwenye nyumba za ibada wafanyiwe maombi ya kupata mume, wanaishi mitaa gani ambako hakuna wanaume?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
  8. Pang Fung Mi

    Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  9. Makonde plateu

    Ajabu na inashangaza wakuu! Padri aliyefumaniwa jana ndiyo ameendesha ibada leo kanisani

    Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda...
  10. Expensive life

    Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

    Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea. NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
  11. Lycaon pictus

    Je, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?

    Eti wakuu, kulingana na mafundisho ya dini, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?
  12. Superbug

    Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  13. Ngongo

    Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

    Heshima kwenu wanajamvi. Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT. Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa. Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Wakikataa kumfanyia ibada ya mazishi nduguyo Niite Mimi nitamfanyia bure kabisa

    WAKIKATAA KUMFANYIA IBADA YA MAZISHI NDUGUYO, NIITE MIMI NITAMFANYIA BURE KABISA. Na, Robert Heriel Kuhani Huna haja ya kuwa mnafiki Kwa kuogopa hautazikwa. Tupo ambao tunajua kuendesha Ibada za namna yoyote Ile na zikafanikiwa Kwa kiwango cha juu Kabisa. Kwanza elewa kuwa hata usipozikwa...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

    Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ibada ya kumtukana shetani

    Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki. Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
  17. Equation x

    Kuzikwa kwa ibada za dini tulizonazo au kuzikwa kipagani kuna manufaa gani kwa marehemu?

    Mwezi uliopita, nilihudhuria mazishi ya rafiki yangu mmoja. Kutokana na maisha yake aliyoishi hapa duniani, alikuwa haendi jumuiya, wala kutoa michango ya huko anakoabudia. Umauti ulipomfika, kukawa na utata; kule kwenye dhehebu lake wakakataa kumzika, kwa sababu alikuwa haudhurii jumuia, wala...
  18. Nyuki Mdogo

    Ibada ya leo ina mahubiri.makali sana

    Dah haya maneno ni makali.mno
  19. M

    Kuna binadamu asiyekufa? Kwanini tusikitike wakati kifo ni lazima na ibada?

    samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
  20. M

    Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
Back
Top Bottom