ibrahim traore

Ibrahim Traoré (born c. 1988) is a Burkinabé military officer who has been the interim leader of Burkina Faso since the 30 September 2022 coup d'état which ousted interim president Paul-Henri Sandaogo Damiba. At age 34, Traoré is currently the youngest serving president in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

    Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini. Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya...
  2. Mathanzua

    Petition ya kumfanya Ibrahim Traore kuwa Rais wa Afrika iliyoungana

    Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika...
  3. Yoda

    Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

    Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa...
  4. kajamaa kadogo

    Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

    Ujinga ni bahari kubwa na tunaendelea kuogelea bila boya
  5. Manyanza

    Huyu Ndiye Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso

    Rais wa Burkina Faso ameanza kazi vizuri na wengi wanampenda ameifanya Bara la Afrika kuwa sehemu ya Kivutio: SOMA HAPA 👇🏻 1.Mosi ,Amefukuz Majeshi ya Ufaransa Nchini Burkinafaso akidai Burkinafaso Ni Nchi Huru (Sovereign State) isiyohitaji Uwepo Wa Majeshi ya Mataifa ya Magharibi katika...
  6. upupu255

    SI KWELI Ibrahim Traoré Rais wa Burkina Faso amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Nishati

    Wakuu Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
  7. musicarlito

    Kichekesho UVCCM na vijana kama hao kum-admire Captain Ibrahim Traore

    Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana...
  8. Jidu La Mabambasi

    Serikali mnatudhulumu kumbukizi, nataka kumwona Ibrahim Traore Rais wa Bukina Faso

    Huyu mwamba wa Afrika Captain Ibrahim Traore, ni mtu nilitaka kumwona machoni akiwa Dar. Huyu Rais Traore ni nyota ya mwafrika, na kila mwafrika mwenye kujielewa angependa kumtia machoni. Serikali ingetutengenezea wananchi, hata mahali tunaweza kumwona mwamba huyu. Alipokuja Mandela serikali...
  9. R

    Viongoz wa CCM wanamkubali Ibrahim Traore?

    Je, viongozi wa chama tawala wanakubaliana na Ibrahim Traore kama Rais Wa Burkina Faso?
  10. R

    Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
  11. Magical power

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
  12. sergio 5

    IBRAHIM TRAORE TRUE MEANING YA KWAMBA NINA WATU

    In fact wanajeshi sio wanafiki Wala wanako kama police hatembei na watu wanafiki kama politician the guy he is so fucking smart Nasubiria siku akija uapisho wa samia na vijana wake walio full armed
  13. Alvin_255

    Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

    1. Burkina Faso's GDP grew from approximately $18.8 billion to $22.1 billion. 2. He has rejected loans from the International Monetary Fund (IMF) and the World Bank. He said, "Africa doesn't need the World Bank, IMF, Europe, or America." 3. He reduced the salaries of ministers and...
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

    Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni. Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu. Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama. Katika sherehe...
  15. S

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron adai viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani. Macron aliyasema maneno hayo mnamo tarehe 6 January 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa wanaoiwakilisha nchi hiyo katika nchi mbalimbali. Macron alisema kwamba mfano viongozi wa nchi za...
  16. S

    Raia nchini Burkina Faso waamua kulala barabarani nyakati za usiku ili kumlinda Rais Ibrahim Traore

    Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais Kapteni Ibrahim Traore dhidi ya jaribio lolote la mapinduzi. Raia hao walioanzisha kikundi kinachoitwa...
  17. S

    Burkina faso yaanzisha utaratibu wa kurusha mubashara ( live) kesi zinazohusu ubadhirifu/ wizi wa fedha za umma

    Burkina Faso iliyo chini ya utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore imeanzisha utaratibu wa kurusha live kesi zote zinazohusu ubadhirifu wa fedha za umma. Utaratibu huo umeanza mwezi Novemba 2024 na watuhumiwa walioanza nao ni maafisa wa wizara ya misaada ya kibinadamu wanaotuhumiwa kuiba...
  18. Waufukweni

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Serikali

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo. Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
  19. S

    Burkina Faso kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri kwa wanafunzi

    Serikali ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traore inatarajia kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri na kuondoa adha wapatayo wanafunzi hasa waishio maeneo ya mijini. Hayo yamesemwa wakati wa utoaji wa ripoti ya kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika...
  20. S

    Kapteni Ibrahim Traore azindua kiwanda cha kusindika nyanya

    Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezindua kiwanda cha kusindika nyanya kilichopo katika mji wa Bobo-Dioulasso. Uzinduzi wa kiwanda hicho umefanyika leo tarehe 30 Novemba 2024 . Kiwanda hicho chenye uwezo wa kuchakata tani 6 za nyanya kwa saa moja, kinatazamiwa kuiwezesha nchi hiyo...
Back
Top Bottom