Ibrahim Traoré (born c. 1988) is a Burkinabé military officer who has been the interim leader of Burkina Faso since the 30 September 2022 coup d'état which ousted interim president Paul-Henri Sandaogo Damiba. At age 34, Traoré is currently the youngest serving president in the world.
Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na anafaa kuigwa, Kila anapopita wananchi hawachoki kumshangilia kwa kazi anayoifanya.
Hapa kwetu wazee...
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-
1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?
2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?
3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba...
Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake,
Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe,
Lazima tulinde na kutumia...
Wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia. Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts… Hatuna chochote huko na haitokaa itokee tukamiliki chochote huko.
Kila tunachokifanya ni kwa ajili...
Huko Burkina Faso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake.
Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za Wanajeshi wengi wapatao 80-120 kuuwawa n wanamgambo wa jihadi hukunikidaiwa kwamba usalama wa Nchi hiyo...
Hakika wananchi wa Burkina Faso wanabubujikwa na machozi kwa rais mzalendo waliyenpata🙂.
Ndani ya muda mfupi Ibrahim Traore ameonyesha kwa vitendo nia yake ya kuikonboa nchi yake kutoka kwenye umaskini.
Ameanza ujenzi wa refinery kubwa ya dhahabu yenye uwezo wa kusafisha tani 150 kwa mwaka...
Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara.
Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
Wakuu
Ukimuua mwanamapinduzi umeua mwili wake na sio mawazo ya kiana mapinduzi ndani yake.
Tom Sankara aliwahi kupata uchungu mkubwa juu ya wizi wa rasilimali uliofanywa Kwa miaka mingi nchini Burkinabe na mfaransa ambae huiba na kwenda kujenga kwake, mapinduzi hayafi kuibuka Kwa captain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.