ibrahim traore

Ibrahim Traoré (born c. 1988) is a Burkinabé military officer who has been the interim leader of Burkina Faso since the 30 September 2022 coup d'état which ousted interim president Paul-Henri Sandaogo Damiba. At age 34, Traoré is currently the youngest serving president in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania inahitaji kiongozi kijana kama Ibrahim Traoré wa Burkina Faso

    Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na anafaa kuigwa, Kila anapopita wananchi hawachoki kumshangilia kwa kazi anayoifanya. Hapa kwetu wazee...
  2. Nani anaweza mjibu kwa ufasaha maswali 3 ambayo kizazi cha Ibrahim Traore kinajiuliza ?

    Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :- 1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ? 2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ? 3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba...
  3. M

    Rais wa Burkinafaso hatoshiriki tena mikutano ya mataifa makubwa isiyo na maslahi Kwa nchi yake

    Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake, Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe, Lazima tulinde na kutumia...
  4. Nini mtazamo wako juu ya kauli ya Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso?

    Wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia. Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts… Hatuna chochote huko na haitokaa itokee tukamiliki chochote huko. Kila tunachokifanya ni kwa ajili...
  5. VOA: Zaidi ya Wanajeshi 80 wa Burkina Faso wauawa na Wanajihadi. Rais Traore akimbia Ikulu na kujificha ikihofiwa Uasi wa Jeshi

    Huko Burkina Faso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake. Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za Wanajeshi wengi wapatao 80-120 kuuwawa n wanamgambo wa jihadi hukunikidaiwa kwamba usalama wa Nchi hiyo...
  6. I

    Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

  7. Ibrahim Traore wa Burkina Faso ni mfano hai kuwa ili nchi iendelee inahitaji kiongozi dikteta

    Hakika wananchi wa Burkina Faso wanabubujikwa na machozi kwa rais mzalendo waliyenpata🙂. Ndani ya muda mfupi Ibrahim Traore ameonyesha kwa vitendo nia yake ya kuikonboa nchi yake kutoka kwenye umaskini. Ameanza ujenzi wa refinery kubwa ya dhahabu yenye uwezo wa kusafisha tani 150 kwa mwaka...
  8. Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara. Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
  9. M

    Mapinduzi ya kifikra ya Thomas Sankara yaliyoibukia Kwa captain Ibrahim Traore

    Wakuu Ukimuua mwanamapinduzi umeua mwili wake na sio mawazo ya kiana mapinduzi ndani yake. Tom Sankara aliwahi kupata uchungu mkubwa juu ya wizi wa rasilimali uliofanywa Kwa miaka mingi nchini Burkinabe na mfaransa ambae huiba na kwenda kujenga kwake, mapinduzi hayafi kuibuka Kwa captain...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…