ibrahim

Ibrahim (Arabic: إبراهيم, Ibrāhīm; Arabic synonym of "Abraham") is the 14th chapter (surah) of the Qur'an with 52 verses (āyāt).
The surah emphasizes that only Allah knows what goes on inside a man's heart, implying we must accept each other's words in good faith (14:38).Regarding the timing and contextual background of the revelation (asbāb al-nuzūl), it is a "Meccan surah", which means it is believed to have been revealed in Mecca, instead of later in Medina. It was revealed around 2-3 years before Hijrah, in a later stage of Muhammad preaching in Mecca when persecution of him and fellow Muslims had become severe.

View More On Wikipedia.org
  1. Petition ya kumfanya Ibrahim Traore kuwa Rais wa Afrika iliyoungana

    Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika...
  2. Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

    Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa...
  3. SI KWELI Ibrahim Traoré Rais wa Burkina Faso amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Nishati

    Wakuu Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
  4. R

    Viongoz wa CCM wanamkubali Ibrahim Traore?

    Je, viongozi wa chama tawala wanakubaliana na Ibrahim Traore kama Rais Wa Burkina Faso?
  5. Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
  6. IBRAHIM TRAORE TRUE MEANING YA KWAMBA NINA WATU

    In fact wanajeshi sio wanafiki Wala wanako kama police hatembei na watu wanafiki kama politician the guy he is so fucking smart Nasubiria siku akija uapisho wa samia na vijana wake walio full armed
  7. Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

    1. Burkina Faso's GDP grew from approximately $18.8 billion to $22.1 billion. 2. He has rejected loans from the International Monetary Fund (IMF) and the World Bank. He said, "Africa doesn't need the World Bank, IMF, Europe, or America." 3. He reduced the salaries of ministers and...
  8. Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

    Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa. Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
  9. Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

    Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela. Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
  10. Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Serikali

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo. Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
  11. Wainjilisti waliotoka uislamu Musa B. Musa, Ibrahim Dikko, Muhammad Muhammad jinsi wanavyowindwa Nigeria kaskazini

    Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada mkubwa katika kuwakaribisha wageni kwenye Imani na kuongeza utukufu kwenye taifa la Mungu Lakini mbali...
  12. Tanzania inahitaji kiongozi kijana kama Ibrahim Traoré wa Burkina Faso

    Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na anafaa kuigwa, Kila anapopita wananchi hawachoki kumshangilia kwa kazi anayoifanya. Hapa kwetu wazee...
  13. Africa: Estimated financial needs by SDG (Latest Data Year) by Mo Ibrahim Foundation Report

    World Poverty Statistics 2024 Facing the harsh reality of extreme poverty, over 700 million individuals globally survive on under $1.90 per day, a crisis that disproportionately affects children. The goal to eradicate this by 2030 underlines the vital global effort of Sustainable Development...
  14. Naim Qassem akataa kuongoza Hezbollah na ajiuzulu, Sheikh Ibrahim Amin naye akataa Uteuzi kuongoza Hezbollah

    Mambo yamekorogana. Wayazuni walaaniwe kabisa.
  15. Waarabu hawajawahi kuwashinda Wayahudi Tangu Siku ya kwanza Ibrahim alivyokanyaga Ardhi ya Kanaani

    Kwema Wakuu! Kwa wasioelewa haya mambo wanaweza Kuona ni mapya lakini hakuna jipya hata Moja. Mengi ni marudio. Tangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati hazijawahi kuwashinda Mayahudi. Ikumbukwe Kuwa Mayahudi ndio yalikabidhiwa Mkoba na Ibrahim ambao Mkoba huo...
  16. U

    Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

    News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika shambulio, huku watu wapatao 560 wakiwa wameuawa tangu mgogoro ulipozidi; Mwana jeshi wa akiba wa...
  17. Nani anaweza mjibu kwa ufasaha maswali 3 ambayo kizazi cha Ibrahim Traore kinajiuliza ?

    Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :- 1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ? 2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ? 3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba...
  18. FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani. Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka...
  19. Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

    Gerald Ibrahim maarufu kama SERIKALI ni mkulima na mfanyabiashara pia ni mkazi wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma. Mwaka 2018 yalitokea mapigano baina ya wananchi na Jeshi la polisi wakati kuwaondoa wananchi katika ardhi ya Kijiji cha Mwanduhubandu, Mpeta Magharibi kiasi cha...
  20. Ibrahim Lipumba na Zitto Kabwe wamejipa likizo, wanasubiri 2030 waibuke mafichoni?

    Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri. Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…