Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”
Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali...
Guys nimeona vyombo vya habari na zile taasisi za "mama this, mama that" zikitoa data za kupikwa za vitu vilivyoharibiwa MO29. Guys.
Guys. Sasa ikiwa hata pikipiki zilihesabiwa na kujulikana idadi ya zilizoharibiwa. Guys. Imeshindikana vipi kuweka wazi idadi ya waliouawa kwenye maandamano...