PostGE2025 Guys tunaomboleza mali na rasilimali kuliko uhai wa watu waliouawa kwenye MO29?

PostGE2025 Guys tunaomboleza mali na rasilimali kuliko uhai wa watu waliouawa kwenye MO29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
106
Reaction score
383
Guys nimeona vyombo vya habari na zile taasisi za "mama this, mama that" zikitoa data za kupikwa za vitu vilivyoharibiwa MO29. Guys.

Guys. Sasa ikiwa hata pikipiki zilihesabiwa na kujulikana idadi ya zilizoharibiwa. Guys. Imeshindikana vipi kuweka wazi idadi ya waliouawa kwenye maandamano?

Inazidi kusikitisha kuwa tunaomboleza mali na rasilimali kuliko uhai wa watu waliouawa.

Guys nachoka
 
We nani kakwambia uhai wako una thamani kuliko mali ya mtu? Ukitaka uhai wako uheshimiwe heshimu mali za watu vinginevyo utauwawa uhai wako hauna thamani yoyote.
 
We nani kakwambia uhai wako una thamani kuliko mali ya mtu? Ukitaka uhai wako uheshimiwe heshimu mali za watu vinginevyo utauwawa uhai wako hauna thamani yoyote.
markup_1000203681.png

We una Mali Gani shoga wa Abduli tu wewe
 
Neno Guys kama mtoto wa kike naweza kusema yupo sawa ila mwanaume hapo ni anko T
 
Guys nimeona vyombo vya habari na zile taasisi za "mama this, mama that" zikitoa data za kupikwa za vitu vilivyoharibiwa MO29. Guys.

Guys. Sasa ikiwa hata pikipiki zilihesabiwa na kujulikana idadi ya zilizoharibiwa. Guys. Imeshindikana vipi kuweka wazi idadi ya waliouawa kwenye maandamano?

Inazidi kusikitisha kuwa tunaomboleza mali na rasilimali kuliko uhai wa watu waliouawa.

Guys nachoka

GenZ wamefanya looting (uharibifu na uporaji kwa kisingizio cha siasa) wanafikiri ndio maandamano!!!
Watu wanachoma vituo vya mafuta ambapo kimoja tu kikilipuka kinaweza kuua watu zaidi ya 1000, HALAFU unawaona wana akili hao!
Marekani wanamsemo wao kuwa; Ukimuacha mtoto wako afanye looting ukamtafute mochwari na sio kwenye kituo cha polisi.
Niliona Malori ya watu mawili (Scania) yanachomwa moto, ambapo moja ni zaidi ya milioni 700; nikaumia sana....

Pamoja na changamoto KUBWA ya UTEKAJI iliyoharibu kabisa taswira ya Nchi yetu pamoja na kuondoa uhuru wa kuwa na mawazo mbadala......nafikiri kulikuwa na haja ya kuangalia namna ya kuadress
 
Rasilimali ni za umma, tukizichoma tunachoma mali zetu.

Tutaendelea kuzichoma waombolezaji watwambie wanaumia wapi ili tuongwze moto.

Sasa tuchome za ccm na polisi nchi nzima ili waomboleze milele.
 
Guys...! ujue mwigulu utotoni kapitia maisha magumu sana! Ilifikia hatua hadi alienda kufanya kibarua cha kuchunga ndama kwa mang'ati kwa ujira wa maziwa tu!!
Sasa kule umang'atini ng'ombe ana thamani kubwa kuliko binadam. Ni rahisi na kawaida sana Baba wa kimang'ati kumwamuru mke wake amshushe na mkumtelekeza mtoto aliyebeba mgongoni ili aweze kuswaga ng'ombe kwa wepesi na haraka.

Kwahiyo guys msimshangae bwana nchemba why kapuuzia kutoa hesabu ya watu waliopoteza maisha kwenye dhahama la MO29.
 
Back
Top Bottom