idara za usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Alloyce, P.R.: Nguzo za kimkakati kuhakikisha Idara za Usalama wa Taifa zinafanya kazi ipasavyo

    Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na Usalama katika kubaini, kuchambua, na kuzuia matishio. Ili kuhakikisha idara hizi (kama vile TISS...
  2. JamiiForums Tanzania Idara za Usalama chi kubwa wanajua tuna ushirikiano na Uganda na ndio washauri wetu

    Kuna mada hapa JF niliweka ila JF kujipendekeza walifuta labda kama mnalipwa kuishi na hawa watu. Mada hapa niliweka kuhusu mwenendo wa Uganda unavyofanya na Tanzania unavofanya. Ili bomba la mafuta kutoka Uganda lazima watu wawili wakubali damu zimwagike kwa njia sawa. Kuna faili zipo ambazo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

    Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga...
  4. JamiiForums Tanzania Sakata la Biashara kati ya Tanzania, Malawi na Afrika Kusini. Hapa ndo Umuhimu wa Kuwa na Idara ya Usalama yenye akili umeonekana

    Hapa Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa sasa vina kazi moja tu kuu nayo ni Kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani. Hawaangalii maslahi ya Wananchi au Maslahi ya nchi Kiuchumi na Kimaendelo. Kuanzia JWTZ, Polisi hadi TISS kwa sasa hakuna suala la kuangalia maslahi mapana ya Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…