Idara za Usalama chi kubwa wanajua tuna ushirikiano na Uganda na ndio washauri wetu

Idara za Usalama chi kubwa wanajua tuna ushirikiano na Uganda na ndio washauri wetu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mada hapa JF niliweka ila JF kujipendekeza walifuta labda kama mnalipwa kuishi na hawa watu.

Mada hapa niliweka kuhusu mwenendo wa Uganda unavyofanya na Tanzania unavofanya.

Ili bomba la mafuta kutoka Uganda lazima watu wawili wakubali damu zimwagike kwa njia sawa.

Kuna faili zipo ambazo inaonesha ushirikiano na kauli zipo sawa.

Mfano Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania ni sawa na Uganda kutoka Muhoozi Kainerugaba.

Utekaji Uganda kwa wasiojulikana na kuua watu mfano wa kushindwa kumuua Lissu hii tabia Uganda ipo sana tena mpaka viongozi wakubwa ndani ya Serikali.


Tunavutiwa muda na siku. Haya mafaili wanasubiria tujichanganye
 
Back
Top Bottom