Mmbea ni mtu anayechukua habari za jambo au mtu fulani na kuziongezea chumvi huku akizisambaza kwa watu wengine.
Mmbea huna haja ya kumweleza jambo kwa upana wewe mweleze kwa ufupi kwasababu ni mmbea anaujuzi mkubwa sana wa kukamilisha taarifa kutokana na taaluma yake ya maswala ya umbea.
Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon.
Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na wakristo.
Hezbollah wapo vizuri hasa katika kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi kama ilivyotokea First...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia inaitambua Nchi ya United Arab Emirates ambayo ndani yake yapo majimbo saba : Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain na Fujairah huku jimbo la saba la Ras Al Khaimah ilijiunga na Shirikisho la UAE mwaka 1972. Huku mji mkuu wa nchi ya UAE ikiwa...
"Deep government observers" ni wachambuzi na wataalamu wa masuala ya siasa, serikali, na utawala wa nchi, ambao wanachunguza shughuli za serikali na uongozi wake katika kiwango cha kina zaidi kuliko wataalamu wengine wa masuala hayo. Huduma yao ni muhimu sana katika kufanya uchambuzi wa kina...
Vipindi katika vipindi vilivyopita niliwaahidi kwamba nitafundisha kuhusu Cosmic energy hivyo katika makala na video hii nitakufundisheni mambo yafuatayo:
ni nini cosmic energy?
ina kazi gani?
ina faida gani?
ina msaada gani kwa mtu mwenye kuipokea?
kwa nini huitwa zawadi katika zawadi za...
Water witching au kwa jina lingine inafahamika kama dowsing ni Njia maarufu na ya kale inayotumika kutambua uwepo wa maji chini ya ardhi ,Yani kama unataka kuchimba kisima Cha maji sasa ili kutambua ni sehemu gani Kuna mwamba wa maji unatumia Njia hii .
Njia hii inasemekani ni ya muda mrefu...
Habari wapendwa,
Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.
Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona...
Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula...
Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo.
Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010.
Majukumu ya...
Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo:
1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani.
2...
Elimu ya sasa wanafunzi huandaliwa kufaulu mitihani bila kukuza uwezo binafsi walionao hali inayoua vipaji vya wengi na kutokomeza ndoto za watoto kadhaa waliopo nchini. Mfumo unaotumika kwa sasa ni mfumo wa 7-4-2-3 ukiangalia miaka ambayo mtu anaitumia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu...
Bustani ya sumu iliyopo Alnwick huko Northumberland, Uingereza, ina zaidi ya mimea 100 yenye sumu, ya kulewesha na ya mihadarati. Na imeruhusiwa kutumiwa na umma yaani watu wote wanaruhusiwa kutembelea maeneo hayo ya bustani kwa kuzingatia taratibu na sheria za eneo hilo.
Ishara kwenye lango la...
Mahenge ni wilaya inayopatikana kusini mwa mkoa wa Morogoro na kabila la Wapogoro ndio wanapatikana huko. Ikiwa eneo la juu (Mlimani) na hali ya hewa ya ubaridi na mvua mvua.
Wilaya hii ina vivutio na siri nyingi mno, kihistoria,kiserikali na hata kidini (Je, umewahi kuisikia Wilaya hii na...
Nanga ni kifaa kilichotengenezwa Kwa ajili ya kuzuia Meli isipelekwe na upepo au mawimbi pale itapokuwa imesimama endapo imemaliza safari, marekebisho au maegesho kwenye maji. Nanga ilianza kutumika tangu karne za Zamani ambapo Wagiriki walikuwa wakitumia vikapu vya mawe kama nanga walipokuwa...
Ujenzi wa huu daraja ulianza hapo awali na progress nzuri ishafanyika. Itakuwa 1.44 kilometres long. Video ya progress ndio hii hapa. Kuna watu huwa wanasema kwamba Kenya hatujengi madaraja.
Amani kwenu Wakuu.
Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine.
Bila shaka utakubaliana...
Saruji isiyo na maji ni jina lililopewa saruji ya portland ambayo chembe za kuzuia maji zimeongezwa.
Saruji isiyo na maji (pia huitwa simiti muhimu) kwa ujumla ni bora zaidi kutumika kwenye maeneo yenye maji na basement iliyo muhimu sana ambayo ina kina cha chini ya mita 10, ambapo hali ya...
Katika biashara yapo mambo yanayofanywa na wafanyabiashara ili kuwavuta wateja ambayo ukisimuliwa unaweza kufikiri ni utani ama story za vijiweni.
Miongoni mwa mambo hayo ni matumizi ya koromeo la mnyama fisi katika kuchujia pombe za kienyeji.
Inasemekana endapo utakunywa pombe iliyochujiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.