ifm

IFM Investors is an Australian investment management company specialises in Debt Investments, Infrastructure, Listed Equities and Private Equity. The Company is owned by 27 major not-for-profit Australian pension funds. IFM Investors’ focus is on improving the retirement outcomes of more than 15 million workers globally represented by their investors. Headquartered in Melbourne, Australia, IFM Investors also has offices in a number of other countries. The company is chaired by former minister of the Australian Labor Party and ACTU secretary Greg Combet.

View More On Wikipedia.org
  1. IFM yaanza kutoa Vyeti vilivyokuwa vikisubiliwa

    Chuo cha Usimamizi wa Fedha kimetoa tangazo la vyeti vya wahitimu wa mwaka 2023/2024 kuanza kutolewa, ndugu wahitimu wote twendeni tukachukue vyeti vyetu mapema sana.
  2. Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

    Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority) Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education) Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) IFM , CBE, DIT Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye...
  3. Tetesi: Transforming IFM into the University of Management & Applied Science

    A Vision for Academic Excellence The Institute of Finance and Management (IFM) has a rich history of providing quality education in the field of finance. As the institute has matured and expanded its course offerings, it is now poised to take a significant step forward: transforming into the...
  4. The Institute Of Finance Management (IFM) Special Thread

    The Institute of Finance Management (IFM) is a public Institute in Tanzania established in 1972. It stands as the oldest higher learning financial institution in Tanzania. The institute has been involved in teaching, research, and consultancy. Currently, the Institute enrolls about 9228 students...
  5. I

    KUINGILIWA MFUMO WA MATOKEO WA CHUO UDSM NA IFM

    Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa taasisi za elimu. Hili linaweza kudhoofisha uaminifu wa vyuo vikuu na kuathiri vibaya mfumo mzima wa...
  6. Tunaotarajia kuomba Institute of finance management (IFM) tukutane hapa

    Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi huu. Kwa tunaotarajia kuomba INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM) tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Chuo hiki au ambao mlisoma hapo /bado mnasoma hapo nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of...
  7. Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

    Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili. Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini. Safari...
  8. M

    Mwendelezo vituko IFM Mwanza Campus, TV yawashwa chumba cha mtihani

    Hii kampasi majanga yanazidi kuongezeka na wahusika msipo chukua hatua hamtutendei haki wanafunzi. Leo jumapili sisi wanafunzi wa BIRM 3 tukiwa tunafanya mtihani wa strategic management lecture 7, tukiwa dakika za mwishoni ghafla aliingia mfanyakazi wa computer lab Mr Swai huku kashika remote...
  9. M

    DOKEZO Kero IFM Mwanza Campus, mamlaka husika tusaidie wanafunzi

    Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia. BAADHI YA KERO: 1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA Kwa muda sasa, kampasi hii imepoteza mwelekeo. Tupo wanafunzi zaidi ya 1000 hapa Mwanza na tunalipa ada isio pungua milioni moja...
  10. Usalili wa TA INFORMATION SYSTEMS IFM

    Wale wadau wa IT em tusaidiane mawazo jana nilifanikiwa kufanya mtihani wa TA information systems IFM lakini cha kunishangaza nilikutana na pepa ya system administrator...mpaka kuna swali 1 linasema as system administrator ......je hili ni sahihi? Au ni uhuni wa utumishi ktk kuendesha michakato...
  11. Kwa mahitahi ya nyumba na Hostel Karibu na Chuo Cha Diplomasi, TIA na IFM

    Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana 📍 Kwa Aziz Alli -Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000 -Master Room (Chumba na Choo Ndani) Kwanzia 100,000- 150,000 -Chumba Choo Na Jiko (Master Room na Jiko ) Kwanzia...
  12. Ni Chuo kipi kati ya UDOM, COICT, IFM, ATC, RUCU, Mzumbe na AIA kiko vizuri kwenye Computer Science field, practical na theory?

    Nimemaliza diploma kutoka college ja ndoto zangu ziko in computer science najua programming languages kadhaa inshort najua field hii inataka nini. Ila changamoto ni chuo kipi kitanifaa kwa level yangu na kunipa chance ya kula explore deeper in the field.
  13. A

    Niliomba Chuo first selection IFM in Acturial Science nimeambiwa ni over capacity nifanyaje?

    Habari, naombeni ushauri juu ya hilo swala maana linaniumiza akili.
  14. K

    Hivi hii kozi ya Social protection inayotolewa na IFM ilianzishwa kwa madhumuni gani?

    Hii kozi wahitimu wake wengi naona wanaishia kufanya kazi za sales kwenye makampuni ya kichina na kulipwa ujira kidogo sana. Hivi IFM waliianzisha kwa madhumuni gani haswa?
  15. Various Posts at Institute of Finance Management (IFM)

    The Institute of Finance Management (IFM) was established by Act No. 3 of 1972 to provide training, research and consultancy services in the fields of banking, insurance, social protection, taxation, accountancy and related disciplines.. Overview: The Public Service Recruitment Secretariat...
  16. Utata juu ya uamuzi wa Rais Samia kuhusu fedha za mkopo wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) wa shilingi Trilioni 1.3

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za Serikali ila alikuwa anasisitiza ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali. Bwana Ndugai amesema mwishoni...
  17. UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
  18. IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

    Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi? Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu Hicho chuo kina matatizo...
  19. Chuo cha IFM kimezingirwa na biashara ya mitumba, chips na mama lishe

    Hakika jiji la Dar es Salaam limevamia na wafanyabiashara wajasiamali maarufu machinga, mama lishe, wauza chips wauza mitumba kila kona. Wametanda pembezoni mwa barabara mbalimbali za jiji wakifanya biashara. Posta ndio usiseme kila sehemu ni vibanda vya mitumba, mama lishe wakipika vyakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…