ifunda

  1. Urban Edmund

    Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania 1. Special (Vipaji maalumu) 2. Technical (Ufundi) 3. Boarding (Bweni kawaida) 4. Teule (shule za halmashauri ) 5. Day (kata) wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu...
  2. Erythrocyte

    Kalenga: Bendera zote za Chadema kata ya Ifunda zang'olewa ili kumpisha Chongolo

    Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione. Bado haijafahamika kama...
Back
Top Bottom