igp simon sirro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mkalamo

    IGP Sirro au Waziri Gwajima, mmoja lazima aondoke

    Jana Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto, Dk Dorothy Gwajima,aliagizwa kukamatwa na kuhojiwa kwa Askofu Dk Gwajima, kwa madai ya kutuhumu uongozi wa juu wa nchi kupewa fedha na wafadhili kwa ajili ya kuruhusu chanjo zitakazowadhuru watanzania Kuna shutuma nyingi amezitaja...
  2. Determinantor

    Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

    Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe. Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo...
  3. MC44

    Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

    Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu. Anyway Leo ndo nimemjua Rais tulienae. ---- KESI DHIDI YA FREEMAN MBOWE Kikeke: Nazungumzia suala hilo la kisiasa kwa sababu kiongozi wa upinzania Freeman Mbowe amefikishwa Mahakamani...
  4. K

    Mbowe kahusishwa na MKIRU, IGP Sirro ameamua kurudisha jeshi huko

    Wakuu, Tunaweza kuwa tunalaumu sana mashitaka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA bila kuwa na uelewa kwamba anajihusisha na mambo hayo au hajihusishi. Kufuatia press meeting aliyoifanya IGP Sirro akiwataka wanachadema kutokuonekana Mahakamani kupinga tuhuma zinazomkabili mwenyekiti na...
  5. M

    Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

    Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro 1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to U, of whom we will cherish the opportunity to cross-examine thoroughly, are just witnesses. The DPP's...
  6. Rutunga M

    IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano...
  7. Prof Koboko

    RPC Kinondoni aliyemwambia Mbowe hachomoki ndiye alimwambia Lema hashindi Arusha

    Kumbe huyu RPC ambaye alimtolea maneno mabaya Mbowe kuwa "this time huchomoki tutakupiga na kesi ya ugaidi(kwa maneno ya John Mrema) "vile vile aliwahi kumwambia Lema akiwa RCO Arusha kuwa hatashinda uchaguzi kwa sababu yeye ni Kada. Maneno haya aliyasema ndugu Godbless Lema mbunge mstaafu...
  8. onjwayo

    Tunatamani ugaidi au tunatengeneza propaganda? Kwa faida ya nani?

    Kitendo cha kumkamata Mbowe na kumtuhumu kuwa ni gaidi tunajaribu kutengeneza dhana mbaya sana mioyoni mwa watanzania masikini wapenda amani. Tanzania miaka yote haijawahi kufikia hatua hii Wala kuwa na kikundi cha watu wenye kuwaza kuwa magaidi. Sana sana tulichoshuhudia ni utekaji...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, kushikwa kwa Mbowe Mwanza IGP alimpa amri RPC? Je, IGP alipewa amri na Rais?

    Habari! Suala la Mbowe kukamatwa limezua maswali yasiyo na majibu. Watu wengine wanasema Rais hahusiki kwa namna yoyote hivyo kaviacha vyombo vya dola huru vifanye kazi yake pasi kuviingilia. Wengine wanasema Rais kahusika kwa 100%. Je, Rais kahusika? RPC hawezi kufanya arresting direct...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
  11. K

    IGP Simon Sirro; madaraka hupita, toba hutengeneza mwisho mwema

    Nadhani ipo nafasi ukitika katika utumishi unachobaki nacho ni kama binadamu mwenye imani kwamba Mungu yupo nikumshukuru Mungu nakuendelea kumtukuza kwa uhai na madaraka uliyopewa. Ukipewa madaraka, ukapewa maarifa ya mema na mabaya, ukapewa maarifa ya kujua pumzi si mali itokayo kwa mwanadamu...
  12. Kijogoodi

    IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo. Sirro amesema...
  13. M

    IGP Sirro, toeni elimu kwa askari wa usalama barabarani; wanatuchelewesha kazini

    Wanabodi leo mara ya pili nimepatwa na shida ndiyo nikajua kuna tatizo. Nineamka saa 11 niwahi ofisini trafiki amekamata daladala yetu kisa dereva hakusimama kwenye zebra. Toka saa 12 hadi sasa hivi saa 1:30 tumekalishwa hapa wanamsubiria tajiri wa gari, vitu havieleweki kabisa. Nashindwa...
  14. beth

    IGP Sirro: Kinondoni inaongoza kwa uhalifu hapa nchini

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
  15. Mag3

    Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, unasemaje kuhusu kauli hii ya SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi?

    Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi Hebu tumsikilize... Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
Back
Top Bottom