Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema haikuwa kazi rahisi kuchunguza, kuwakamata na kufikishwa kortini maofisa saba wa jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara wa madini na kumpora mamilioni ya fedha.
Alisema ugumu wa suala hilo ulitokana na kuwahusisha...